supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
real.. jinsi msanii wao anavyofanya mambo yake kienyeji na alivyo mbumbumbu na mashabiki wa huyo msaniii ni mbumbumbu kama msanii wao...DIAMOND NAWEZA KUSEMA NI AKILI KUBWA SANA TOKA AMEINGIA YOUTUBE VIDEOS ZAKE ZINA MATANGAZO(AME ENABLE-MONETARIZATION), hapo ameshavuna mamilioni ya pesa kifupi ni pesa nyingi sana anapiga kupitia youtube.. Huyu Dogo kiba ni mpuuzi na hana washauri na wataalam wa kumshauri kisayansi kuna kipindi nadhani mwaka jana alikua haja-enable monetarization kwenye video zake so amepoteza mamilioni ya pesa kutokana na uelewa finyu .. kwa sasa sifahamu kama ameshajiunga au bado na cha-ajabu kujiunga ni bure .. Ndio maana nasema team ya Diamond ina wataalam wengi na wanafanya kazi ki-sayansi zaidiTatizo mtu kama huyu na ubishi wake unampuuzia, hajui kuwa followers alio nao Diamond Instagram ni utajiri tosha huo ndio maana makampuni yamepanga foleni...
Yeah bro,nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili jambo,kweli kijana anajitahidi sana kufanya mambo ya kimaendeleo but ktk suala zima la mahusiano ya kifamilia naona kama kachemka kidogo,huyo hawara yake siku akimwanzishia mtiti dogo ataenda wapi,nna experience na waganda jamaa ni wana roho mbaya ajabu hawaoni hasara kukutumia na kukutupa iwe ktk kazi au vyovyote.kijana akitaka abaki alipo awe makini,mwangalifu na mambo yake mengi ayafanye kisheria sio ujanja ujanja wa kibongo na awe mwaminifu maana siku ikitokea bahati mbaya wamefumaniana hizo fidia zitakazofunguliwa huko mahakamani naamini mwenyewe mondi akili zitamkaa sawa.Mungu amuepushie hilo.Nyumba ya South Africa iko kwa jina lake?
uwekezaji wa brand ya hawara sio guaranteed..
siku mkimwagana hupati hata senti....hawara sio mke
Mkuu hapo ndiyo penye point yake,we unadhani likitokea la kutokea huyo mama atampelekea hati kwamba shika hati yako nyumba siitaki?tunavyokumbushana humu kila siku kwamba tusiwaamini sana w/ke haishii tusiwasomeshe tu hata kuwanunulia vitu vya thamani kubwa nalo ni kosa,angekuwa kaenda nae kwa sheikh wakafunga ndoa hamna ambaye angemjadili humu tatizo ni wanaishi kiujanja ujanja.Unajuaje km kaandika jina la huyo unaemuita hawara?
Unaumia?Sasa kuwa na B 5 bank na kununua nyumba ndio unaweka kwenye Social media. Inatusaidia nn sisi?
Nyumba kitu gani??? embu kuwa serious mzee.mbona mnakua malimbukeni wa vitu vidogo nyumba kitu gani bwana acheni ujinga
Wewe ulivyofumaniwa mbona uliwekwa kwenye mtandao, ilisaidia nini? Wakati mwingine ni vyema kuficha upumbavu wako kuliko kuhorojoka...Sasa kuwa na B 5 bank na kununua nyumba ndio unaweka kwenye Social media. Inatusaidia nn sisi?
ha ha hadi views anahesabu,..sio mbaya ni mahaba pia anayowatu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu
Ngoja nikuambie... Chibu mjanja; yule dogo co mbumbumbu na yupo makini kwenye uhusiano wake! Kwanza endapo asingekuwa makini hivi sasa ndoa ingekuwa imeshapita kati yao lakini dogo anajua kila kitakachofuata baada ya ndoa ni chao na sio chake!! Kuhusu nyumba ya SA; there's no way nyumba itakuwa na jina la Zari as owner... narudia, no way-- Diamond co mpumbavu! Hata ukiangalia posts kuhusu nyumba utagundua kabisa Zari hayupo excited kivile ingawaje Chibu amei-refer nyumba as "nyumba yetu!"WHY? I bet nyumba itakuwa na jina la Tiffa Dangote ili kumpoza wife!!Yeah bro,nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili jambo,kweli kijana anajitahidi sana kufanya mambo ya kimaendeleo but ktk suala zima la mahusiano ya kifamilia naona kama kachemka kidogo,huyo hawara yake siku akimwanzishia mtiti dogo ataenda wapi,nna experience na waganda jamaa ni wana roho mbaya ajabu hawaoni hasara kukutumia na kukutupa iwe ktk kazi au vyovyote.kijana akitaka abaki alipo awe makini,mwangalifu na mambo yake mengi ayafanye kisheria sio ujanja ujanja wa kibongo na awe mwaminifu maana siku ikitokea bahati mbaya wamefumaniana hizo fidia zitakazofunguliwa huko mahakamani naamini mwenyewe mondi akili zitamkaa sawa.Mungu amuepushie hilo.
Hahahahaha asante mkuu umenifanya niwe happy yaan hapa kuna jibwa moja limebaki nalo ukinisaidia kulishushua nitafurah sana bado sijaliona likipost matakataka yake siku zote huwa linacrash maendeleo ya chibu yaan hata vitu vya wazi kabisa lenyew utalisikia linaongea kinyume ka lichawiWewe ulivyofumaniwa mbona uliwekwa kwenye mtandao, ilisaidia nini? Wakati mwingine ni vyema kuficha upumbavu wako kuliko kuhorojoka...
Huo in ukweli lakini hawatakuelewa. Vichwa vya waTz vimejazwa imani kwamba ukiwa na nyumba na Gari we tajiri.Hawezi kufilisika kutokana na mipango yake siyo kwa sababu ya idadi ya nyumba. Zamani watu wengi walikuwa wanaamini kuwa kila nyumba ni asset lakini kuna nyumba ambazo ni liabilities.
Nyumba inakuwa asset pale tu inapokuingizia pesa kwa kuwa nayo, lakini kama inachukua pesa haiwi asset tena. Jambo la muhimu ni kuwa nyumba alizonazo zinamwingizia nini.