Yeah bro,nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili jambo,kweli kijana anajitahidi sana kufanya mambo ya kimaendeleo but ktk suala zima la mahusiano ya kifamilia naona kama kachemka kidogo,huyo hawara yake siku akimwanzishia mtiti dogo ataenda wapi,nna experience na waganda jamaa ni wana roho mbaya ajabu hawaoni hasara kukutumia na kukutupa iwe ktk kazi au vyovyote.kijana akitaka abaki alipo awe makini,mwangalifu na mambo yake mengi ayafanye kisheria sio ujanja ujanja wa kibongo na awe mwaminifu maana siku ikitokea bahati mbaya wamefumaniana hizo fidia zitakazofunguliwa huko mahakamani naamini mwenyewe mondi akili zitamkaa sawa.Mungu amuepushie hilo.