Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
- #41
We kwako muhimu ni kipi?mbona mnakua malimbukeni wa vitu vidogo nyumba kitu gani bwana acheni ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kwako muhimu ni kipi?mbona mnakua malimbukeni wa vitu vidogo nyumba kitu gani bwana acheni ujinga
Hao unaowasema kufulia kwao ni kwa kujitakia maana walijitumbukiza kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya, lazma wapoteze muelekeo.Benki ana Bilioni 5.
Lakini awe muangalifu.Walifulia akina Whitney Houston na MICHAEL Jackson sembuse Diamond wa Mbagala.
Hayati Notorioua B.I.G alishawahi kuimba ;"More Money More Problemz".
umeona muhimu ni nyumba tuWe kwako muhimu ni kipi?
Wivu uu jmn mtakufa sasa nyie ndo team kiba hampendi MTU aendelee namungu ashawalanimbona mnakua malimbukeni wa vitu vidogo nyumba kitu gani bwana acheni ujinga
Team kiba wazee wamajungu katika ubora wakeKwanza kuwa na heshima kwa Mr Nice. Huwezi kuweka andiko bila wa kumtolea mfano? Kama Mr Nice angewekeza, pengine huyo unae muona asingejua lolote kuhusu kuwekeza. Pili hivyo vitu vyote unavyo vitaja hatujaona evidance yoyote kama ni vyake., weka evidance hata hati ya mahuziano basi ili tukuamini, msitufanye watoto zenu kila mkijamba tuvumilie.
eti juma juxx! utabaki ushabikia wanaumewenzako mpaka lini bro fanya yakoyaWivu uu jmn mtakufa sasa nyie ndo team kiba hampendi MTU aendelee namungu ashawalani
Bandiko umelisoma lote?umeona muhimu ni nyumba tu
Team kiba nakuonawatu hawawekezi instagram
lady jay dee
AY
mwana fa
ungejua uwekezaji wanaomiliki
wala usingeanzishaa hii thread mchwara maana unahesabu mpaka views kuwa ni utajiri
ila huyu aliyegundua insta huyu
Bongo bdo tunakazi sanaBandiko umelisoma lote?
Ww unabaki unashangilia au?eti juma juxx! utabaki ushabikia wanaumewenzako mpaka lini bro fanya yakoya
Hahahaaa uneonaeUjue namimi natamani siku moja niwe upande wa wanaopenda Mtanzania mwenzao mchapakazi afulie.... Maana sijui inakuaje yani au unajisikiaje... Isije ikawa wanaenjoy peke yao.
Mkuu jamaa nimemfuatilia sio, unamaliza nguvu zako kubishana na Kaoge.Ww unabaki unashangilia au?
Diamond sio mjinga kiasi hicho. Hivi ulimsikia hata ile kuwa Video Queen wa Utanipenda jamaa alimlipa pesa like anyone else ingawaje Zari mwenyewe alitaka kufanya for free! Unadhani kwanini alifanya hivyo? It's a message kwamba "this's my job and not our job!" Asije kesho na kesho kutwa akadai hata kazi walikuwa wanashirikiana!! Hata kama sijaona hati but am certain nyumba itakuwa na jina la Tiffa! Hawezi kuwa bwege aandike jina la Zari!!Nyumba ya South Africa iko kwa jina lake?
uwekezaji wa brand ya hawara sio guaranteed..
siku mkimwagana hupati hata senti....hawara sio mke
Ungekuwa shabiki namba moja wa chama chetu CCM ndiyo nigeona kuna ukweli kwani CCM itaendelea kutawala siku zote na haitakuja kufirisika kamwe maana ni tajiri wa viongozi na uongozi. Ila kwa huyu kijana mwenzetu hali inaweza kubadilika, kumbuka kama akina Jackson etc waliishiwa sembuse yeye. Kumbuka pia umaarufu + uwekezaji==Ghararama hupanda, na ikitokea mirija imekata basi kila kitu huporomoka. Kikubwa kijana anatakiwa awe na watalaamu wa uchumi na mahesabu ili wamsharui vizuri asiwekeze tu ili mradi kaambiwa na mganga wa kienyeji.
itanisaidi nn katika siku ya leoWw unabaki unashangilia au?
Umeoa tayari?itanisaidi nn katika siku ya leo