ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Ni kiwanja cha mpira (stadium) au cha kujenga?
Je kina ukubwa gani?
Mbona hawa watu wanatumia hela ovyo hivi
POint mkuu ndo maana mtu akistaaf anazungushwaaa hadi apate hela yake ameshakufa...kumbe hela zimepelekwa kwenye matumizi mabaya kama haya ambayo hayana tija yyte kwa wachangiajiNi matumizi mabaya ya fedha za wanachama. Kuna wanachama wastaafu wanalipwa pesheni ya tzs 50,000 kwa mwezi na hayo maghorofa mengi hayana hata wapangaji. Hii Mifuko ya hifadhi za jamii kweli imekuwa shamba la bibi na SSRA wako tu wanajilipa mishahara makubwa! Waweke fedha zetu kwenye dhamana za serikali zenye riba kubwa ili pensheni ya chini iwe sawa na kima cha chini cha mishahara.
ona sasa unavyojionyesha ulivyo bwege kwa maisha ya binadam kuna kutumia common sense kwa vitu vya kila siku leo hii mama yako akikutuma maji / maziwa nusu litre sio ajabu ukamwambia sina measuring sylinder au pipette ya kupimia hicho kimiminika ndo maana unapswa walau kutoa figure ya kukadiria mfano robo ekari hekta , around sqm kadhaa inaonyesha makadirio ya hicho kiwanja kuliko kusema eti ni kikubwa tu ..pengine ukubwa kwa akili yako unaweza kukuta 20m/20m kwaWw ndio uwezo wako wa kuelewa mgumu huyo anayelalamika kiwanja kununuliwa kwa dola milioni 8 hajui hata ukubwa wake.
Ww unataka kujua sqr meter njoo upime hanithi ww
hata mim walau niliitaji kujua makadirio tu ya eneo husika sasa wao wanadai ni kikubwa tu hocho kiwanja sijui wanaficha ninI am a qualified land and landed property valuation surveyor/ land economist/proffesional valuer..
Atakae kuja na exactly figure ya ukubwa wa hilo eneo anitajie nifanye calculation na adjustments ili tupate fair market value/price ya hilo eneo walilonunua ppf,,thamani ya ardhi ya maeneo hayo inajulikana,,na attributes zinazoaffect value kwa ile neighborhood zinajulikana
Tukipata rough estimation za value/price basing on ukubwa wa eneo husika itakua vizuri zaidi kwetu kama great thinkers kuichambua mada
Nawasilisha
"Ekari 5"I am a qualified land and landed property valuation surveyor/ land economist/proffesional valuer..
Atakae kuja na exactly figure ya ukubwa wa hilo eneo anitajie nifanye calculation na adjustments ili tupate fair market value/price ya hilo eneo walilonunua ppf,,thamani ya ardhi ya maeneo hayo inajulikana,,na attributes zinazoaffect value kwa ile neighborhood zinajulikana
Tukipata rough estimation za value/price basing on ukubwa wa eneo husika itakua vizuri zaidi kwetu kama great thinkers kuichambua mada
Nawasilisha
ecari tano zipi hizo pale ubungo amna kiwanja cha ukubwa huo"Ekari 5"
hata mim walau niliitaji kujua makadirio tu ya eneo husika sasa wao wanadai ni kikubwa tu hocho kiwanja sijui wanaficha nin
"Ekari 5"
Ukiona hivyo ujue hawa ndio beneficiary wa huo uozo hapoLets wait anaeujua ukubwa wake exactly alete nifanye makadirio mkuu,,,sidhani ka ni 5 acres pale kama alivyodai mchangiaji hapo chini
Ina maana wadau huu Uzi hawakuuona au ?
Hicho chombo kinachoitwa SSRA nacho ni hovyo tuuuu! Ndo wanaotakiwa kuidhibiti mifuko hii. Tumewahi eleza kwamba wimbi la kujihusisha na miradi ya ujenzi ni njia mojhawapo ya kuiba pesa ya wanachama. Sekta ua ujenzi imejaa rushwa na ni ngumu kuifualiltia.
Hao wakurugenzi wa mifuko woote sasa ni waizi tuuu na wako makini kusimamia mifuko hii ijiingize kwenye ujenzi. watatafuta viwanja kwa rushwa, makandarasi kwa rushwa, ujenzi kwa rushwa, n.k lakini yote haya ni mabaki ya mstaafu rais.
Kwa Interview ni sawa, presidential post hazina interview, mengineyo yupo sahihi?Kauliza interview sasa mbona dau hakuwahi kufanyiwa?