Uwekezaji: PPF yaendeleza eneo la ekari 5 jijini Dar

Ni kiwanja cha mpira (stadium) au cha kujenga?
Je kina ukubwa gani?
Mbona hawa watu wanatumia hela ovyo hivi

Ni matumizi mabaya ya fedha za wanachama. Kuna wanachama wastaafu wanalipwa pesheni ya tzs 50,000 kwa mwezi na hayo maghorofa mengi hayana hata wapangaji. Hii Mifuko ya hifadhi za jamii kweli imekuwa shamba la bibi na SSRA wako tu wanajilipa mishahara makubwa! Waweke fedha zetu kwenye dhamana za serikali zenye riba kubwa ili pensheni ya chini iwe sawa na kima cha chini cha mishahara.
 
POint mkuu ndo maana mtu akistaaf anazungushwaaa hadi apate hela yake ameshakufa...kumbe hela zimepelekwa kwenye matumizi mabaya kama haya ambayo hayana tija yyte kwa wachangiaji
 
Ww ndio uwezo wako wa kuelewa mgumu huyo anayelalamika kiwanja kununuliwa kwa dola milioni 8 hajui hata ukubwa wake.

Ww unataka kujua sqr meter njoo upime hanithi ww
ona sasa unavyojionyesha ulivyo bwege kwa maisha ya binadam kuna kutumia common sense kwa vitu vya kila siku leo hii mama yako akikutuma maji / maziwa nusu litre sio ajabu ukamwambia sina measuring sylinder au pipette ya kupimia hicho kimiminika ndo maana unapswa walau kutoa figure ya kukadiria mfano robo ekari hekta , around sqm kadhaa inaonyesha makadirio ya hicho kiwanja kuliko kusema eti ni kikubwa tu ..pengine ukubwa kwa akili yako unaweza kukuta 20m/20m kwa
ko ndo kikubwa sanaa wakati kuna viwanja vya 100m/100m, 70m/70m
 
I am a qualified land and landed property valuation surveyor/ land economist/proffesional valuer..

Atakae kuja na exactly figure ya ukubwa wa hilo eneo anitajie nifanye calculation na adjustments ili tupate fair market value/price ya hilo eneo walilonunua ppf,,thamani ya ardhi ya maeneo hayo inajulikana,,na attributes zinazoaffect value kwa ile neighborhood zinajulikana

Tukipata rough estimation za value/price basing on ukubwa wa eneo husika itakua vizuri zaidi kwetu kama great thinkers kuichambua mada

Nawasilisha
 
hata mim walau niliitaji kujua makadirio tu ya eneo husika sasa wao wanadai ni kikubwa tu hocho kiwanja sijui wanaficha nin
 
"Ekari 5"
 
Lets wait anaeujua ukubwa wake exactly alete nifanye makadirio mkuu,,,sidhani ka ni 5 acres pale kama alivyodai mchangiaji hapo chini
 
Ukiona hivyo ujue hawa ndio beneficiary wa huo uozo hapo
 
Kama kuna kitu cha maana Magufuli atafanya ni kuifuta sheria ya manunuzi
 
Umeelezea kwa kina, naamini wahusika watalichukulia hatua madhubuti.
 
Hicho chombo kinachoitwa SSRA nacho ni hovyo tuuuu! Ndo wanaotakiwa kuidhibiti mifuko hii. Tumewahi eleza kwamba wimbi la kujihusisha na miradi ya ujenzi ni njia mojhawapo ya kuiba pesa ya wanachama. Sekta ua ujenzi imejaa rushwa na ni ngumu kuifualiltia.

Hao wakurugenzi wa mifuko woote sasa ni waizi tuuu na wako makini kusimamia mifuko hii ijiingize kwenye ujenzi. watatafuta viwanja kwa rushwa, makandarasi kwa rushwa, ujenzi kwa rushwa, n.k lakini yote haya ni mabaki ya mstaafu rais.
 
Kwa taarifa yako Ssra walipeleka taarifa 2012 na mkwere alipoona dau ni jipu aliwajibika ni husda
 
hata mm ni mmoja wa wahanga wa ppf... kwenye akaunti ya marehemu mzee wangu kulikuwa na milioni 11...cha ajabu wametupa milioni 4.7...ukiwauliza wanasema ni halali kiasi walichotoa cha pensheni...lkn nimeamua kukomaa nao mpk wazitoe zilizobaki...kifupi ni kwamba PPF NI WEZI WAKUBWA
 
Back
Top Bottom