Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
- Thread starter
- #61
Mbona mnapenda kuendeshwa na maneno ya vijiweni? ni lini bakhresa alitaka kuwekeza simba?
Itakuwa wewe ndo upo Kijiweni.
Ndo maana hufahamu hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnapenda kuendeshwa na maneno ya vijiweni? ni lini bakhresa alitaka kuwekeza simba?
habari za kutunga hiziItakuwa wewe ndo upo Kijiweni.
Ndo maana hufahamu hili
habari za kutunga hizi
Hivi kwanini unateseka na mtu mwenyepesa? Fanya maisha yako familia yako isitesekeSi Mpaka aseme Mo ndo mtakubali...
Hivi kwanini unateseka na mtu mwenyepesa? Fanya maisha yako familia yako isiteseke
Hapana, watz tumezidi makelele sana wakati simba hohehae hukwenda kuwasaidia chochote lakini kajitokeza mtu anafanya nao biashara unapiga makelele, hivi unazani ukijitokeza leo na deal la trilioni 2 simba watakukatalia? Mna mneno mengi bila vitendoComment yako ipo nje ya Mada. Ulipaswa kunyamaza au utokuwa Member kutokana na mawazo yako hayo
Hapana, watz tumezidi makelele sana wakati simba hohehae hukwenda kuwasaidia chochote lakini kajitokeza mtu anafanya nao biashara unapiga makelele, hivi unazani ukijitokeza leo na deal la trilioni 2 simba watakukatalia? Mna mneno mengi bila vitendo
Mkuu kwanini huendi mahakamani kupinga haya? Ndio maana hizi naziita kelele ambazo haziisaidii chochote simba wala weweKuisaidia Simba ni Jambo moja.
Kuitumia Simba kiujanjaujanja ili kufanikisha Malengo yako ni jambo jingine. Haimaanishi kila Mwenye fedha adhulumu au kuwanyonya watu kwa sababu ya shida zao. Si sawa kununua timu na kuhodhi kila kitu kiujanjaujanja. Bosi wa timu ni mwenye 51% ambaye ni Mwenyekiti wa wanachama.
FCC walikataa kuitambua nafasi ya CEO , ambayo Mo ndo ameilazimisha ili kufanikisha malengo yake.
UTAPELI

Mkuu kwanini huendi mahakamani kupinga haya? Ndio maana hizi naziita kelele ambazo haziisaidii chochote simba wala wewe
Kati yangu na wewe nani mganga njaa? Hata ukimuonea wivu Mo haitasaidia kupunguza umasikini wakoKwani ukiacha kusoma huu uzi na wewe utapungukiwa nini.
Ndo maana nakuona Mganga njaa unayeamini Fedha zinaweza hata kumfanya mtu apoteze haki yake
Kutoka maktabaTatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days?
Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu ya Simba kanuni zinataka kuwe na wawekezaji watatu watakaogawana hiyo 49% . Ikumbukwe hata Bakhresa alitaka naye kuwekeza kupitia hizo kanuni akapotezewa. Swali ni kuwa huu mchakato wa uwekezaji wa Simba Sc uliwekwa kumkumbatia mtu mmoja?.. Kwa nini usitangazwe kama Hisa then watu waBID kuzinunua kupata hizo kampuni 3.
Anyway nakubali labda kuna imani kubwa kwa wanasimba kwa MO sababu pia ni mpenzi mkubwa wa mpira wa Miguu.
Tume ya Ushindani ilitaka kuwe na wawekezaji watatu kama kanuni zinavyosema. Mbona Mo ametoa 20B yeye mwenyewe kununua hizo 49% zote?
Je wanasimba hamuoni kuwa hili suala litakuwa na mgongano wa kisheria hapo mbele?, hamuoni kuwa utakuwa uwekezaji batili?
Kibaya Mtakuja na mihemko ya mabanda ya mpira kuliko kujibu hoja mtaanza kumshambulia mtoa hoja. Tufikirie Simba ya 2035 itakuwaje kama tukiingia mikataba ya hovyo mfano huu wa kuuza timu kiholela.