Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Nadhan inaweza kuwa na faida kwa mtaji mkubwa mfano milioni 100 utakunja 12,000,000 Kwa mwakaBond ni time consumer......with little profit
Nikweli mkuuFaida ya bonds huonekana km una fedha nyingiiiii, biashara changamoto ndo kama hizo japokuwa unaanza na mtaji kidogo tu! enewei
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nikweli kkFaida ya bonds inafahamika kwa asilimia, yaani utasubiri muda wote huo kupata hiyo faida, ila biashara ikinoga, faida yake inakua kubwa, japo biashara inaweza ikabuma.
Uko sahihi na ndio maana inatakiwa kotekote uwekeze kila upande kuna umuhimu wake muhimu.Faida ya bonds inafahamika kwa asilimia, yaani utasubiri muda wote huo kupata hiyo faida, ila biashara ikinoga, faida yake inakua kubwa, japo biashara inaweza ikabuma.
Nam kkKufanya biashara ni kama unabet vile, kuna kupata na kukosa. Lakini kuweka bonda ni uhakika.
Nikweli mkuu lakini sio kwa wastaafu tu nadhan nimuhimu kila mtu kuwekezaNgoja niendelee kusoma comments kujifunza, ila bond kwa wastaafu nadhani ni kitu chema
Mtaji wa million 100 ukifanya biashara ni more profitable.Mzee wang Ana biashara yake moja mtaji imegharimu almost 70m Kwa wiki analaza mpka 2.5M (kwa mwezi 10m)ikipungua saan ni 1.5m anapiga (kwa mwezi 6m) ukitoa marupurup ya serikal kwa mwka ni kama 2m.-4mNadhan inaweza kuwa na faida kwa mtaji mkubwa mfano milioni 100 utakunja 12,000,000 Kwa mwaka
Hapo nilipo bold pote halipi mfanyabiashara unalipa weweMdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?
Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)
Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi
-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k
Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?