Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?
Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)
Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi
-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k
Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?