Uwekezaji wa Bond Vs Biashara za kawaida

Uwekezaji wa Bond Vs Biashara za kawaida

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?

Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)

Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi
-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k

Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?
 
Faida ya bonds inafahamika kwa asilimia, yaani utasubiri muda wote huo kupata hiyo faida, ila biashara ikinoga, faida yake inakua kubwa, japo biashara inaweza ikabuma.
Uko sahihi na ndio maana inatakiwa kotekote uwekeze kila upande kuna umuhimu wake muhimu.
Kwa mfano uko na biashara yako inayokuingizia kipato kila siku sasa ukipata pesa nyingine ya ziada hiyo ndio inabidi ukaiwekeze kwenye bond kisha unaipotezea baada ya mwaka itakuwa imezalisha gawio ila si vema uwekeze kwenye bond halafu hela hiyo hiyo ndio uitegemee kwa ajili ya hela za kula kila siku haitasaidia.
 
Nadhan inaweza kuwa na faida kwa mtaji mkubwa mfano milioni 100 utakunja 12,000,000 Kwa mwaka
Mtaji wa million 100 ukifanya biashara ni more profitable.Mzee wang Ana biashara yake moja mtaji imegharimu almost 70m Kwa wiki analaza mpka 2.5M (kwa mwezi 10m)ikipungua saan ni 1.5m anapiga (kwa mwezi 6m) ukitoa marupurup ya serikal kwa mwka ni kama 2m.-4m

Changamoto kubwa la stress kazi zikiwa haziend vizuri kutokana na matarajio yake.na chamoto anakutana nacho
 
Mdau Leo anauliza Kati ya biashara za kawaida na Bond za ma bank zinazotoa interest ya 10.5% kwa Mwaka je, kipi kina faida zaidi?

Kwenye Bond
-Hakuna Kodi ya TRA
-Hakuna Kodi ya Pango sehem ya biashara
-Hulipi mfanyakazi Wala muda wako hautumiki
-Hakuna uwezekano wa kupoteza mtaji(mtaji kukataa)

Biashara
-Kodi TRA, LESENI
-Kodi ya Pango
-Muda, mfanyakazi

-Mtaji unaweza kukata/kuisha/kuibiwa n.k

Shusha comment yako Kati ya hayo mawili kipi Bora zaidi?
Hapo nilipo bold pote halipi mfanyabiashara unalipa wewe

Ask me how???

Kazi yangu kubwa ni kulinda mtaji na kufanya uzae
 
Back
Top Bottom