Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

Kweli kabisa.Na kutumia akili ni muhimu.Habari zikija zinakuja kuwa bandari yote wamepewa DP,wakati ni berth 4 kati ya 12.Na sio wamepewa,ni kuwekeza,kuwekeza ni tofauti na kupewa.
 
Kweli kabisa.Na kutumia akili ni muhimu.Habari zikija zinakuja kuwa bandari yote wamepewa DP,wakati ni berth 4 kati ya 12.Na sio wamepewa,ni kuwekeza,kuwekeza ni tofauti na kupewa.
Hatushindwi kuziendesha bandari zetu wenyewe.

Na pia hatushindwi kupata hizo dola 250 mil alizokuja nazo DP.

Hizo ni dili za watu tu that's all.
 
Magufuli alikataa msaada wa bure kutoka MCC wenye thamani ya Usd million 700.

Aliyeturoga kafa na kaburi lake halijurikani lilipo kama la Ghaddafi na Osama.
 
Magufuli alikataa msaada wa bure kutoka MCC wenye thamani ya Usd million 700.

Aliyeturoga kafa na kaburi lake halijurikani lilipo kama la Ghaddafi na Osama.
Hakuna Bure Duniani Zaidi ya Hewa tunayovuta tukiwa Wazima, ukiumwa hata Hewa utauziwa!

Happy New Year
 
Elimu ya wa Tz wengi ni duni, tuna IQ ndogo , inabidi tuongezewe artificial intelligence yani?
 
Huyu mswahili anauza nchi vizuri akimaliza anarudi kwao
 
Sahihi kabisa ndiyo maana ajira za pale huwa hazitangazwi
 
ulitaka awekeze kiasi gani ikiwa umempa Gati 3 pekee?
 
Berths 4 alizochukua hizo ndizo zikiongoza kwa ukusangaji wa mapato pale Bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…