Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

Hii ni mihemko Jazz Band !!
Watu wengi hudhani kila kinachoandikwa mitandaoni ni cha kweli !!
Habari nyingi kwenye mitandao hata hiyo mitandao ya habari ya nje ni uongo tu ndio unatawala !!
Habari ni Silaha ! Kwahiyo kila mtoa habari huwa anaangalia maslahi yake katika hiyo habari anayotaka kuitoa !!

Vita vya Uchumi ! Kila muamba ngozi huvutia upande wake !! [emoji120][emoji120]
Kweli kabisa.Na kutumia akili ni muhimu.Habari zikija zinakuja kuwa bandari yote wamepewa DP,wakati ni berth 4 kati ya 12.Na sio wamepewa,ni kuwekeza,kuwekeza ni tofauti na kupewa.
 
Hatushindwi kuziendesha bandari zetu wenyewe.

Na pia hatushindwi kupata hizo dola 250 mil alizokuja nazo DP.

Hizo ni dili za watu tu that's all.
 
Watanzania sijui akili zetu zikoje.

Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?

Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.

Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.

Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.

Hata kishika uchumba cha Barrick tulichokuwa tunakidharau ni usd 300 mil.

Pia sisi wenyewe tulishafanya uwekezaji mkubwa wa kuboresha bandari ambao ni zaidi ya fedha alizoahidi Dpw.

Kwa habari zaidi fuatilia link hapo chini.

Magufuli alikataa msaada wa bure kutoka MCC wenye thamani ya Usd million 700.

Aliyeturoga kafa na kaburi lake halijurikani lilipo kama la Ghaddafi na Osama.
 
Hakuna Bure Duniani Zaidi ya Hewa tunayovuta tukiwa Wazima, ukiumwa hata Hewa utauziwa!

Happy New Year
 
Elimu ya wa Tz wengi ni duni, tuna IQ ndogo , inabidi tuongezewe artificial intelligence yani?
 
Watanzania sijui akili zetu zikoje.

Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?

Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.

Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.

Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.

Hata kishika uchumba cha Barrick tulichokuwa tunakidharau ni usd 300 mil.

Pia sisi wenyewe tulishafanya uwekezaji mkubwa wa kuboresha bandari ambao ni zaidi ya fedha alizoahidi Dpw.

Kwa habari zaidi fuatilia link hapo chini.

Huyu mswahili anauza nchi vizuri akimaliza anarudi kwao
 
Wakuu wa mashirika wanaandaliwa au kupendekezwa ili yule anaempigia debe achaguliwe, na yeye ale kupitia hapo, ama kwa kupata tenda bila vigezo, kuingiza bidhaa bila kodi, watoto wake waajiriwe, kupata mkopo nk
Hata wakurugenzi wa chini ya DG nao hupewa kwa mantiki hiyo so unakuta mfumo mzima upo kimaslahi.
Sahihi kabisa ndiyo maana ajira za pale huwa hazitangazwi
 
Watanzania sijui akili zetu zikoje.

Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?

Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.

Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.

Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.

Hata kishika uchumba cha Barrick tulichokuwa tunakidharau ni usd 300 mil.

Pia sisi wenyewe tulishafanya uwekezaji mkubwa wa kuboresha bandari ambao ni zaidi ya fedha alizoahidi Dpw.

Kwa habari zaidi fuatilia link hapo chini.

ulitaka awekeze kiasi gani ikiwa umempa Gati 3 pekee?
 
Soma vizuri link,hawaekezi bandari yote,bandari ya Dar,ina berth 12,wanawekeza 4 berths,tofautisha na kuwekeza na kuchukuwa.Kwa mfano aliyekodisha frem ya duka,amewekeza kwa mwenye nyumba,sio amechukua frem ni mali yake.Watanzania sio kila kitu tunapinga bila kutumia akili.
Berths 4 alizochukua hizo ndizo zikiongoza kwa ukusangaji wa mapato pale Bandarini
 
Back
Top Bottom