Uwekezaji wa DP-World ni USD 250 milioni ni mdogo kuliko "kishika uchumba" cha Barrick USD 300 milioni

Kaka Mshana, Hakuna DP world, ni watu wa humu humu ndani, hawana hela, wametumia mbinu ya Dalalli DP kutupiga.
Utakuta ni Mkuu Rosti Tamu na "SMG" wakiwa wameshamuahidi yule ajuza Mzenji asilimia kadhaa za share.
 
Watanzania sijui akili zetu zikoje.

Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?

Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.

Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo, bali ni kwa miaka kadhaa.

Tanzania kama nchi hatushindwi kupata kiasi hicho cha fedha.

Hata kishika uchumba cha Barrick tulichokuwa tunakidharau ni usd 300 mil.

Pia sisi wenyewe tulishafanya uwekezaji mkubwa wa kuboresha bandari ambao ni zaidi ya fedha alizoahidi Dpw.

Kwa habari zaidi fuatilia link hapo chini.

DP World ni kampuni ya wajanja wa humu humu ndani, hawana hata shilingi mia mbovu, watachota kwenye hizi hizi wanazokopa kwa ridhaa ya nchi, kisha ndio wawekeze, usishangae hata wakanunua mitambo ya TICTS na ndio ikawa inatumika kufanya uhuni hapo bandarini. Katazame mkataba wa DP World, umesainiwa na rais huku kwetu, lakini hakuna kiongozi yoyote wa serekali ya Dubai!

Ukiona watu wanalazimisha kubaki madarakani kwa namna yoyote ile, ujue ni ili kulinda hiyo mikataba ya wizi.
 
Usiwe na wasiwasi, hicho ni kianzio tuu!, umuhimu wa DPW na Bandari zetu sio just capital injection, ni technical know how za how to operate more efficiently and more profitably ambapo sisi wenyewe hatuwezi hata kama hizo fedha tunazo.
P
Sikubaliani na wewe kabisa, ina maana sisi wenyewe pamoja na Uhuru wetu tunaotamba nao hivi hatuwezi ku-operate Bandari yetu kwa ufanisi?
 
Ndesamburo: Richmond ni Wahuni fulani wamekodi kaflemu pale mtaa wa Lindi lakini hawauzi hata balbu
 
Tech, know how? Capital injection ni muhimu port yetu imezidiwa kupakua mizigo Kwa meli zinzatumia muda mrefu,Wafanyabiashara wamehamia Mombasa,
 
Usiwe na wasiwasi, hicho ni kianzio tuu!, umuhimu wa DPW na Bandari zetu sio just capital injection, ni technical know how za how to operate more efficiently and more profitably ambapo sisi wenyewe hatuwezi hata kama hizo fedha tunazo.
P

Technical know-how ndio major problem nchini kwetu, kila resource tunayo ila kuifanya ibadilishe maisha yetu ndio kwenye siri kubwa na tuliponyimwa uwezo! Hata wasipoweka shilingi wakaleta ujuzi na ikaongeza efficiency inatosha sana, japo fitina zitakuja sana tu!
 
Ndesamburo: Richmond ni Wahuni fulani wamekodi kaflemu pale mtaa wa Lindi lakini hawauzi hata balbu
Kile kiofisi kilikuwepo nyuma ya Hoteli ya Ndesamburo Key’s, Alikuwa mwenyewe ameweka Computer chache unalipa pesa unafanya mambo yako na pia huyo Boss mwenyewe alikuwa anapigisha simu za nje ya Nchi kupitia Computer !
Baadaye tukasikia eti ndio Boss kubwa la Richmond 🙄🙄🙄🇹🇿😱 !
 
Inasikitisha sana kuna watu walikua beneficiary wa schorlaship za serikali 1960's-1990's ambao wengi wao ndio walitumiwa kufanya negotiation.

Serikali laiti ingejua hawa watu isingewasomesha miaka hiyo maana nadhani kwa vitu tunavyoviona kwenye mikataba ya kimataifa ni fedheha hawa watu wangeachwa tu vijijini miaka hiyo ya giza maana elimu waliyopewa bure kabisa ughaibuni na exposure waliyoipata haijawasaidia kabisa bora wangeachwa tu vijijini kwao.
Tatizo ni mfumo wa utawala wa ccm
 
Technical know-how ndio major problem nchini kwetu, kila resource tunayo ila kuifanya ibadilishe maisha yetu ndio kwenye siri kubwa na tuliponyimwa uwezo! Hata wasipoweka shilingi wakaleta ujuzi na ikaongeza efficiency inatosha sana, japo fitina zitakuja sana tu!
Tatizo letu Mkuu sio Technical know how !
Tatizo letu ni uadilifu na uzalendo umeshapotezwa kwa sababu ya Ufisadi na Upigaji unaofanyika almost kila mahali !
Wanafunzi wanazisikia habari hizo tangu wakiwa Shuleni na Vyuoni !
Wanazisikia habari za ripoti za CAG !
Wanasikia nini kinachotokea kwa watuhumiwa kisha nao wanakuwa motivated !
Wakibahatika kumaliza masomo yao na wakaajiriwa unadhani watakwenda kufanya tofauti na yale waliyokuwa wanasikia wengine wakiyafanya ???!
Tafakari 🙏🙏
 
Kaka ndio technical-know how hizo,
Uadilifu ni attitide, hauji kwa miujiza unajengwa tangu unapozaliwa kuanzia kwa wazazi, shule, unaposali, watu unaoishi nao, kama hawana uadilifu chain yote hiyo ndio tunalack part ya kwanza ya know how.
Kama hatuwezi kuinforce sheria zetu then utasema tuna legal know-how?
Kama CAG anatoa report kila siku na hamna mabadiliko then ni kukosa know-how tena
Sentensi yako ya mwisho inamalizia kuconfirm hatuna tech-know how acha tusaidiwe.

Kuna nini hata moja unaweza kujivunia imefanywa na wazawa na ikawa effiecient zaidi ya kuzaa? Mswahili akishiba tu anaenda kutafuta K, hatuna tunachoweza tuache kujidanganya mkuu!

Outcome ya learning ni change of Knowledge, Skills na Attitude lakini sisi hatuna hata moja hata tusome na kumaliza madarasa yote! That's the fact ukubali au ukatae.
 
Sikubaliani na wewe kabisa, ina maana sisi wenyewe pamoja na Uhuru wetu tunaotamba nao hivi hatuwezi ku-operate Bandari yetu kwa ufanisi?
Hatuwezi sio kwa sababu ya kukosa ujuzi bali hatuwezi kwa sababu ya kuendekeza upigaji ambao imeshakuwa ni elements fulani hivi ndani ya damu zetu !
Bila upigaji tunaona kwamba maisha hayawezekani !!
Hizo elements zinajipandikiza kwenye damu zetu kupitia mentors wetu tulionao kila mahali tulipo !!
Binadamu tangu tukiwa wadogo huwa tunajifunza kupitia kuona, Kusikia, Kutenda !!
 
Kaka ndio technical-know how hizo,
Uadilifu ni attitide, hauji kwa miujiza unajengwa tangu unapozaliwa kuanzia kwa wazazi, shule, unaposali, watu unaoishi nao, kama hawana uadilifu chain yote hiyo ndio tunalack part ya kwanza ya know how.
Kama hatuwezi kuinforce sheria zetu then utasema tuna legal know-how?
Kama CAG anatoa report kila siku na hamna mabadiliko then ni kukosa know-how tena
Sentensi yako ya mwisho inamalizia kuconfirm hatuna tech-know how acha tusaidiwe.

Kuna nini hata moja unaweza kujivunia imefanywa na wazawa na ikawa effiecient zaidi ya kuzaa? Mswahili akishiba tu anaenda kutafuta K, hatuna tunachoweza tuache kujidanganya mkuu!

Outcome ya learning ni change of Knowledge, Skills na Attitude lakini sisi hatuna hata moja hata tusome na kumaliza madarasa yote! That's the fact ukubali au ukatae.
Inafikirisha sana 🙏🙏
 
Back
Top Bottom