ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #181
Huoni maendeleo au husikii? Ukitoka hapo kwako Huwa unapata hutembei kwenye Barabara ilizojenga CCM?Kweni CCM inasaidia nini zaidi ya kula RUSHWA?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni maendeleo au husikii? Ukitoka hapo kwako Huwa unapata hutembei kwenye Barabara ilizojenga CCM?Kweni CCM inasaidia nini zaidi ya kula RUSHWA?!
Bado hujasema utasikia na kuona mengi sana Mazuri ya awamu ya 6USHUUZI
Bado hujachanganyikiwa vizuri,kula hiyooo 👇👇🌈 bana yaaani hapa ndio unaona umenichanganya vibaya😂😂
ww nae. Wapi hapo niliposema vita itahamia bara la Africa? 🤪Ujinga haujawahi kumuacha mtu huru.Vita ikiisha Ukraine itahamia Bara la Afrika?
Umesoma hata kilichoandikwa au umerukia tu kama nyumbu anayefuata mkumbo.Herd thinking?
Ndg, ukweli kwa ndugu zetu flani hv waliojivisha mabomu ya chuki za kijinsia, kikanda na kidini, ni bidhaa adimu sana!!Muda mwingine tukubaliane na ukweli ukiwa mjini huwez jua kinachoendelea huko mikoani.
Mfano tu hata kuangalia kwa upande wa ufuta kwa mikoa ya kusini yule mtu aliyelima mwaka 2023/2024 acre 3 mwaka 2024/2025 kaongeza mara mbili hasa kutokana na uwepo wa bei nzuri sasa kwa mtu wa mjini huwez liona
Huyu ndio Rais pekee ambae amefanya mpira na Sanaa kuwa kazi kimbilio Kupitia hamasa yake ya mchezo na Sasa robo fainali goli la mama ni 10mln.Nimeshawambia akili zako ziko matakoni utawezaje kuona madudu na vipaumbele vya kipuuzi alivyonavyo bibi yako kiziwi, ni mpumbavu pekee tu ambaye anaweza kutoa 700m na kulipia kila goli 5m kwa watu ambao tayari wana mishaara yao kama wacheza mpira, wakati huo taifa analoliongoza ni maskini kiasi kwamba mahosipitalini hakuna hata gloves... ni upumbavu pekee tu kama wewe ndio huwezi kuona incompetence ya kiongozi kama huyu.
Ripoti ya CAG ilisema Walikopesha watu hewa mabilioni Hadi Rais akalazimika kusitosha na hakuna aloyewahi chukuliwa hatua chini ya waoigaji wa awamu ya 5 almaarufu Wazalendo.Na wewe taja huo wizi wa mikopo ya almashauri kwenye awamu ya tano na kwenye hayo manunuzi ya kwenye bwawa la umeme, yaani unakaa na walamba makombo wenzio huko mnalishana ujinga kuhusu awamu ya tano kisha ndio mnakuja kuandika bila uthibitisho wowote kwenye mijadala kama hii.
Mumeona wapi bila vielelezo 😂😂😂🤣🤣Tanesco chini ya dalali wa majenereta January makamba tumeona jinsi ilivyoendeshwa kihuni na kutoa huduma mbovu kwa wanainchi, halafu Leo hii wewe unauliza ufisadi tanesco? Tupe ushaidi wa CAG wa huo ufisadi wa almashauri kwenye awamu ya tano.
Porojo as usual ,kama una ushahidi nenda TAKuKURU.Kwa hiyo ulitaka na mimi niwe mwendowazimu kama wewe kwamba source yako ya taarifa ni page za taasisi za serikali ambazo ni obvious zinaendeshwa na machawa sio? Kuhusu upstairs niko vizuri sana kuliko watu wote waliopo kwenye ukoo wako... njoo nikuoneshe almashauri ambayo kuna Watumishi wawili wamekufa tangu 2022 lakini mishaara yao bado inaendelea kutoka na inapigwa na mafisadi kama wewe, kama wewe ni wa kwenda mirembe basi wewe unatakiwa upelekwe kwenye zoo la simba wakali wenye njaa ukawe kitoweo Chao, maana aina ya binadamu kama wewe ni kirusi kwenye taifa hili na hamfai kuendelea kuishi.
Na Hawa Kwa nini hakuwaadabisha?mwendazake alikuwa anawaadabisha wezi na wahujumu uchumi bila kuwaonea aibu hata wale ambao walikuwa wamemuweka mfukoni kikwete nafikiri unajua kilichowakuta akina Rugemalila.
Akili huna,Kuna RC mbakaji Yuko ofisini? Wezi wa hivyo walikuwa wanalindwa awamu ya 5 Kwa sababu walikuwa washkaji wa Jamaa yenu.Haya leta uthibitisho wa hiki unachokisema kama kama sio dhiaka za kijinga na vijistori vya kutunga, na pia huko huko mwanza RC alikutwa na kesi ya ubakaji kesi nzito kuliko hata ya ufisadi ila mama yako chura kiziwi kashindwa hata kumkemea achililia mbali kumfukuza...!! Kwa maana nyingine serikali ya mama yako inafuga wabakaji japo yeye ni mwanamke.
Huna Cha maana unachoongea zaidi ya kuropoka pumbaHao ni Watumishi wazembe walikuwa hawaonewi bali walikuwa wanapewa kinachowastahili, hakuna kiongozi thabiti anayelea wazembe na wabadhirifu serikalini, ni mama yako Samia tu ndio analea huu upumbavu kwa sababu hajui kuongoza nchi, na ndio hao hao Watumishi wazembe wanakesha wanamuimba "mama".."mama" unafikiri hawana mama majumbani mwao.
Hatuandikii mate Bali namba zinaongea 👇 👇Makusanyo yapi bwana huyo mama yako kayaongeza? Kwa mbinu au akili gani aliyonayo kufanya mapato yaongezeke? Huyo si anapelekewa taarifa za kupikwa tu na hao watumishi wa TRA ambao wengi ni wala rushwa wakubwa, usiniletee data kutoka kwenye page ya TRA maana najua ni uongo mtupu... kama makusanyo yangekuwa makubwa tusingeona akikazana kutembeza bakuli huko kwa waarabu na mabeberu na kulikuza deni la taifa almost two times kulinganisha na alivyolikuta, ni wajinga wa huko kijijini kwenu ndio wataamini hizi taarifa eti Samia kaongeza makusanyo ya kodi na wakati wafanya biashara wakwepa kodi wanaifurahia hii awamu yake.
Mikopo ni njia ya kupata hela fasta na kutekeleza miradi fasta badala ya kusubiria kujikusanya.Umeshasema makusanyo yameongezeka, sasa unaangaika na mamikopo ya nini kama sio ukichaa huo? Si mmeongeza mapato sasa kivipi tena deni la taifa nalo limeongezeka kwa speed ya rocket? Tafsiri yake wewe ni muongo haujaongeza makusanyo yoyote badala yake makusanyo yako aidha yameshuka au yako pale pale na unatumia pesa za misaada kufanya hayo mambo ya kimaendeleo.
Mkopo sio msaada ,anaepata Mkopo ni yule mwenye uwezo wa kurejesha.Huu wote ni udhaifu na ukosefu wa maarifa, yaani badala ya kuivunia ni jinsi gani ulivyotumia rasilimali na pesa za jasho lako kujenga nyumba nzuri ya kuishi wewe na wanao, wewe unajivunia jinsi ulivyotumia hela ya mkopo kujenga nyumba nzuri huku ukiweka rehani mashamba ambayo ndio yanakupa uhakika wa kula wewe na wanao.. ni mjinga na mtu asiyekuwa na akili hata kidogo kama nyie machawa ndio mtajivunia hili.
🚮🚮 Waliokuwa best Huwa ni role model,ukiona hakuna anaefuata ujue alikuwa garasa.The likes of failed leaders eg Nyerere, MwendazakeMwendazake was the best and will always be the best second to Nyerere, hakutaka kuwa mlamba makalio ya wazungu kama hawa wavaa kobazi..
Rasilimali ndio zinazuia usikopesheke wewe panda wa dobi? USA,China,Brazil vs Tanznaia nanai ana Rasilimali zaidi? Yet unajua Wana madeni how much?Na pia ni upumbavu mkubwa saba kukosa mshipa wa aibu eti unasema kabisa unakopesheka kwa nchi yenye rasilimali lukuki kama hii, eti tunakopesheka... seriously? Ndio maana nasema nyie machawa na mama yenu Samia inapaswa tuwasahau kabisa baada ya mwezi October maana nyie ni virus kwenye taifa hili, mkiendelea kuwepo utashangaa 2027 deni la taifa limefika 140trillion halafu bado mnaendelea kukopa tu.
Pesa mlipora,mnaowata wanyonge mliwakamua Kwa kuwauzia vitambulisho vya Machinga,mliwafukarisha Kwa kuua biashara zao ,mazao yao na hasara zingine egHeri kupora pesa za wahujumu uchumi ambazo wamezipata in mysterious way kuliko kuwakamua wanainchi wako hata kile kidogo walichonacho kwa kuwanzishia matozo yasiokuwa na kichwa wala miguu... mama yenu anafuga wezi, wahujumu uchumi na ndio wanaomfurahia wakati huo moyoni waking'ong'a kwa ujinga na udhaifu wake.
Kila Kituo Cha Afya kilo fully equipped,huyo RC ni Kati ya wale Wala Bange ambao Mwendazake aliwachonga.Huduma ya mama na mtoto ni Bure ndio maana vifo vimepungua by 80% na Samia mama wa Taifa akapewa tuzo ya heshima.ya.kazi iliyotukuka.Hebu Acha kuniambia upumbavu hapa fala wewe, nenda kamdangnye bibi yako huko isongobyego... eti kila kituo cha afya kina vifaa tiba, serious? Kama hapa dar tu penyewe tumeambiwa juzi na Rac gloves za kumzalishia mama mjamzito hamna aende akajifungulie nyumbani halafu wewe mla makombo unatwambia eti kila kitu cha afya kina vifaa tiba? Hii ni dar tu sipati picha huko vijijini itakuwaje, hizo huduma hadi Vichochoroni ni huko kwenu au kizimkaz? Anglia na mtu wa kumdanganya kinabo wewe.
Wanatakiwa wawanyooshe maana wakiwaachia hamnaga akili ,Huwa mnafundishwa kuwa na roho za mashetani ndio maana mnaharibia watu maisha.Hao wavaa kobazi kama kuna magumu wanayopitiaga chini yetu basi wanastahili maana hata wao wenyewe huwa hawatujali kabisa mabaya tunaofanyiwa kwenye tawala zao, mfano kama sasa hivi hatujasahau mauaji ya Padri kule Mbeya.
Shida ya kurundika.hao.ma jobless ilisababishwa na yule mtu wenu aliyekuwa na akili ndogo kama.wewe.Eti ajira kede kede ajira gani hizo za kuwatosha watu waliopo mitaani mbuzi wewe? Mwambie mama ako kama yeye yuko smart ate genre private sector iwe na uwezo wa kuajiri watanzania milioni moja kila mwaka hapo ndio tutamuona Ana akili, na sio kutoa viajira 2,000 vya serikali kisha watoto wa maskini waanze kuzigombania, sasa kama anatoa ajira 17,000 halafu wanazigombania hizo ajira wako 200,000 unajivunia nini sasa? Akili zako ni ndogo sana Fala wewe sidhani kama umefika hata kidato cha sita.
Zero content unapayuka tuuUnapiga debe kama wale wamama wa pwani ambao kila weekend wako kwenye shughuli, nao huwa ni wapayukaji tu kama wewe...
Empty skull,zero brainutawezaje kuona hoja zako na wakati akili zako ziko matakoni na tumboni, hakuna chawa mwenye akili.
-Kuporimoka Kwa bei za korosho,mbaazi,mahindi,nk ndio uchumi wa mafisadi huo au sio? 🤣🤣Huwa wanavuruga uchumi uliokaliwa na mafisadi na kuleta mlinganyo kwa wanainchi wote... Hao wavaa kobazi wanaleta neema kwa mafisadi na syndicates zao sababu ni dhaifu, na ni watu dhaifu kama wewe ndio huwa mnawafagilia.
Wenye uchungu na Taifa ndio hao wanaoua sekta ambazo Zina Watu wengi kama Kilimo na Biashara? Akili kisoda.hata ningekuwa mimi kama wanainchi wenyewe ndio mazombi kama wewe ambayo hayana uchungu na taifa lao ukiyaruhusu kuiba tu na kufanya ufisadi yanakusujudia, ningeishi maisha ya anasa na kula raha kadri nitakavyo kisha baada ya hapo nikarudi zangu kwetu na kuwaachia madeni mlipe wenyewe.
Pesa zinamiminika kama zote maana anajua kuzitafuta,sio kama.wale.wengime hawajui kutafuta ila wanajua Kuharibu na kutapanya.eti "pesa anatafuta na anapata bwerere" upumbavu kabisa
Au siyo? Basi sawa nitakukumbisha.Mungu wa mafisadi au Mungu yupi huyo? Anyway hata mwaka huu hautamaliza huyo Mungu wako atatuondolea hichi kirusi na wewe mwenyewe,
Kwani lazima wote wamuelewe? Hawa hapa wakimuelewa inatosha sana 👇👇Ulishajiuliza ni kwanin mama ako mnaomsifia na kumuona wa maana ni nyie machawa tu na watumishi wa serikali? Huku uraiani watu hawamuelewi kabisa licha ya kutandaza mabango kila kona mkimsifia?? Kwa sababu uwepo wake pale juu ni cancer katika taifa hili, ulishaona wapi raisi unawanyang'anya wanainchi wako makazi yao ya asili na kisha kuwakabidhi wageni halafu utegemee hao hao wanainchi wakupende?.. yeye mwenyewe kwanza anajijua tu hapendwi na raia na ndio maana anajitahidi kuwekeza kwa nyie machawa, na hata siku akiondoka atasahaulika wala hakuna atakayemuongelea sana kama tu ilivyo kwa Mwinyi, maana ni raisi wa ovyo kuwahi kutokea kwenye taifa hili na uraisi wake wa kuokota
Hawaniwezi Mimi Huwa nawapa makavu,facts na data 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We jamaa haters wameshakushindwa kusema ukweli!
Namba za Samia ni very extra ordinary.Kila siku nasema, huyu mama atakuja kukumbukwa vizuri tu........come the time!!
Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia.
1. Imetoa ruzuku ya mbolea na pembejeo Kwa miaka 3
2. Imeonheza Bajeti ya Kilimo mara dufu
3. Imejenga na inajenga zaidi ya hactares 500k za irrigation
4. Imeajiri maelfu ya Wataalamu wa Kilimo kuanzia Maafisa Ugani Hadi wahandisi.
5. Imeongeza Bajeti ya Utafiti Kwa Wataalamu.
6. Imenunua Vitendea kazi wa Wataalamu wa Kilimo kuanzia magari,pikipiki,vipima udongo,vishwambi nk
7. Imefufua na kuimarisha Tume ya Umwagiliaji
8. Imetafutia masoko ya bidhaa mbalimbali za Kilimo wakulima
9. Inanunua mazao ya wakulima,eg NFRA &CPB ndio soko kuu la mahindi ya Wakulima
10. Imejenga na inaendelea na ujenzi wa maghala ya kuhifadhia mazao Ili walau iwe na uwezo wa kutunza tani mil.3 za nafaka.
11. Imeanzisha mradi wa BBT Kilimo,mifugo,Uvuvi,Madini nk.
12. Inatoa mbolea mbegu za mazao Bure eg Korosho,ngano ,Chikichi nk
13. Ameanzisha mfumo wa Mauzo ya mazao kimtandao Tanzania Merchandile Exchange "TMX" hakuna makanjanja tena au madalali.
14. Ameanzisha mnad wa Chai ndani ya Nchi,hakuna Kupeleka Mombasa
15. Tanzania Kwa Sasa ni namba 2 wa Kuzalisha tumbaku na Korosho Afrika
16. Ameimarisha bei za mazao yote
17. Ameongeza mtaji wa Benki ya Kilimo ,Sasa pesa zipo na wakulima wanakopa.kwa riba nafuu.
18. Amepunguza riba za mikopo kwenye Kilimo kutoka 18% Hadi 9%
19. Ameanzisha programu ya Kusambaza matrekta 10,000 Kwa wakulima "Mechanisation drive"
20. Amerejwsha maonesho ya Kilimo Nanenane Kwa kuyafanya ya Kimataifa na Kujenga Viwanja vya Maonesho vya Kimataifa Dodoma na Mbeya.
Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea
View: https://youtu.be/tqvtrPSCl0U?feature=shared
My Take
Nawakumbusha tuu Rais Samia ni Game Changer wa Uchumi wa 🇹🇿 na ataendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe.
Haters mnaitwa kutoa povu ila ndio hivyo Samia ameshindikana.
View: https://www.instagram.com/p/DFo2hQloxmP/?igsh=YzhyYnkzeXI0dDF5
Ile Ndoto ya Rais Samia ya Kufanya Tanzania kuwa Ghala la Chakula Cha kulisha Afrika inaenda kutimia. Waweza soma hapa pia Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji
View: https://www.instagram.com/reel/DFU1P6riddR/?igsh=MTJmd3k0cTcyMDd0NA==
Kilichoandikwa ni mataifa ya Afrika ndio nikakuuliza baada ya vita Ukraine itahamia Afrika? Umekurupuka kuiweka Ukraine wakati mada inazungumzia uzalishaji wa mahindi Afrika.Umesoma mada au umejibu kikapuku?ww nae. Wapi hapo niliposema vita itahamia bara la Africa? 🤪
Umesoma mada inasema nini?
Ngoja nikukumbushe, inasema Tanzania tumeshika nafasi ya pili kwenye uzalishaji-kilimo cha mahindi, ukiondoa hilo Dataz zinasema yukraina alikuwa mzalishaji nambari moja na sasa hayupo hata ya pili ambayo sie Batanzania tunashikilia. Upo?
nimesema, Trump akimaliza vita huko yukraina, ukraine itarudia nafasi yake ya juu, labda namba mbili
Herd thinking. So what? El pluribis Unum. Unaelewa?
umekurupuka na hakuna Tui ambalo unaeza weka kwenye maneno yangu. What a punda.
Bado hujasema utasikia na kuonaengi sana Mazuri ya awamu ya 6
View: https://www.instagram.com/p/DEu6cf-IwDq/?igsh=Zjh0dWZzYWoxZjl4
Huyu ndio Rais pekee ambae amefanya mpira na Sanaa kuwa kazi kimbilio Kupitia hamasa yake ya mchezo na Sasa robo fainali goli la mama ni 10mln.
-Mnaumia kuona wasanii wanaambatana na mama lakini wanajua kwamba Mama amewakopesha hela na anawalipa mirahaba
-Huyu ndio Rais aliyeleta Afcon,CHAN
-Huyu ndio Rais anaejenga viwanja 2 vipya vya mpira
Yule mwingine aliyekuwa anagawa hela barabarani alifanya nini Cha kwa miaka 6? 😆😆
Ripoti ya CAG ilisema Walikopesha watu hewa mabilioni Hadi Rais akalazimika kusitosha na hakuna aloyewahi chukuliwa hatua chini ya waoigaji wa awamu ya 5 almaarufu Wazalendo.
Pesa hizi Kina Kalemani/Mwendazake walikuwa wanajilipa via kampuni Yao
Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini. Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...www.jamiiforums.com
Mumeona wapi bila vielelezo 😂😂😂🤣🤣
Majizi nyie in the name of Wazalendo 😆😆👇👇
View attachment 3228184
Nimekwambia niletee ripoti hata Moja ya CAG awamu ya 5 ilisema wizi umepungua na unieleze Kwa emlifukiza CAG baada ya kuibua ufisadi wenu 😬😬
Porojo as usual ,kama una ushahidi nenda TAKuKURU.
Na Hawa Kwa nini hakuwaadabisha?
View attachment 3228187Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi
Mbunge wa Gairo, Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini. Shabiby amesema 'fee' hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS...www.jamiiforums.com
Akili huna,Kuna RC mbakaji Yuko ofisini? Wezi wa hivyo walikuwa wanalindwa awamu ya 5 Kwa sababu walikuwa washkaji wa Jamaa yenu.
Ingia YouTube utaona mama analalamika kuporwa mifugo na Askari ambao wanalindwa na DC mbele ya Mwendazake
Huna Cha maana unachoongea zaidi ya kuropoka pumba
Hatuandikii mate Bali namba zinaongea 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DEZM35-sFol/?igsh=MTloam9qODhnbnE2bg==
Vs wale wa kupora watu hela zao 🤣🤣👇👇
Mikopo ni njia ya kupata hela fasta na kutekeleza miradi fasta badala ya kusubiria kujikusanya.
Mwisho Nchi zote Zenye maendeleo Zina mikopo mikubwa ,shida wewe ni kilaza sawa na huyo unaemtetea.
Mkopo sio msaada ,anaepata Mkopo ni yule mwenye uwezo wa kurejesha.
Huwezi.kopesha mtu ambae huna uhakika kama Afya yake ya akili Iko.sawa au laa yaani hujui kesho ataropoka nini 😆😆
🚮🚮 Waliokuwa best Huwa ni role model,ukiona hakuna anaefuata ujue alikuwa garasa.The likes of failed leaders eg Nyerere, Mwendazake
Rasilimali ndio zinazuia usikopesheke wewe panda wa dobi? USA,China,Brazil vs Tanznaia nanai ana Rasilimali zaidi? Yet unajua Wana madeni how much?
Zero brain mlikuwa mnakopa mikopo ya Kibiashara baada ya kunyimwa concessional huku mkidanganya punguani wenzenu.
Pesa mlipora,mnaowata wanyonge mliwakamua Kwa kuwauzia vitambulisho vya Machinga,mliwafukarisha Kwa kuua biashara zao ,mazao yao na hasara zingine eg
View attachment 3228240
Ukiona sekta ya benki inakufa ujue hakuna Uchumi hapo ,zero brain kama nyie hamjui kitu.
Kila Kituo Cha Afya kilo fully equipped,huyo RC ni Kati ya wale Wala Bange ambao Mwendazake aliwachonga.Huduma ya mama na mtoto ni Bure ndio maana vifo vimepungua by 80% na Samia mama wa Taifa akapewa tuzo ya heshima.ya.kazi iliyotukuka.
Wanatakiwa wawanyooshe maana wakiwaachia hamnaga akili ,Huwa mnafundishwa kuwa na roho za mashetani ndio maana mnaharibia watu maisha.
Shida ya kurundika.hao.ma jobless ilisababishwa na yule mtu wenu aliyekuwa na akili ndogo kama.wewe.
-Aliua private sector
-Aliua Kilimo
-Aliua sekta ya benki
-Aliua real estates
-Aliacha kuajiri
-Na aliharibu diplomasia.
Hayo yote Kwa Sasa ni historia mama anamwaga Neema tele na kedekede Vijana wanafurahia
View: https://x.com/ajirapsrs/status/1887868822528336076?t=mhrj-fcbyZKpOvLLVRgwlA&s=19
Zero content unapayuka tuu
Empty skull,zero brain
-Kuporimoka Kwa bei za korosho,mbaazi,mahindi,nk ndio uchumi wa mafisadi huo au sio? 🤣🤣
-Mafisadi ndio hao waliongezewa makato ya Bodi ya mikopo,wizi wa riba ya retention fee au siyo? 😆😆
Wenye uchungu na Taifa ndio hao wanaoua sekta ambazo Zina Watu wengi kama Kilimo na Biashara? Akili kisoda.
Pesa zinamiminika kama zote maana anajua kuzitafuta,sio kama.wale.wengime hawajui kutafuta ila wanajua Kuharibu na kutapanya.
Au siyo? Basi sawa nitakukumbisha.
View attachment 3228347
Kwani lazima wote wamuelewe? Hawa hapa wakimuelewa inatosha sana 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DATNqhBtTUn/?igsh=MWJjdnE0c3NwZjJ1Nw==
Mwisho ,The best president ever,transformative mind and economy mover ,namba zinaongea 👇 👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1876532366405214692?t=b5Zs_AEcN0VB195GojTycA&s=19
Ovyo sana ww. Hujui hata kusoma ndio uje kunifundisha kusoma nilichokiandika?Kilichoandikwa ni mataifa ya Afrika ndio nikakuuliza baada ya vita Ukraine itahamia Afrika? Umekurupuka kuiweka Ukraine wakati mada inazungumzia uzalishaji wa mahindi Afrika.Umesoma mada au umejibu kikapuku?
Ndio tatizo la herd thinking kukimbilia kujibu mada bila kuielewa.
Mafuriko mwaka yaliathiri mikoa hii na maeneo yafuatayo:-Vipi kuhusu mafuriko? Mwaka Jana Kila kitu kilikuwa paralysed.
Usilazimishe takwimu zako
Uthibitisho upi zaidi ya hizo taarifa za CAG? 😁😁 Majizi msiokuwa na akiliNakwambia ulete uthibitisho usiokuwa na shaka halafu wewe unalitea nyuzi zilizoandikwa na watu humu jamii forum na bado pia taarifa yenyewe imechapishwa miezi miwili baadae muhusika akiwa hayupo? Halafu unataka nikuchukulie serious? Wapumbavu wenzako ndio wataitilia maanani.
Ni zaidi ya kuwa proud,aliyekuwa nagawa rushwa barabarani alifanya kipi Cha maana kulinganisha na anaenunua goli kuhamasisha Michezo? Acha Bangi hospitals ziko full and well equiped na ndio maana vifo vya mama na mtoto vipepungua,data zinaongeaKwa hiyo uko proud kabisa kuona mama yako amatumia pesa za walipa kodi kununua goli moja 10m robo fainali wakati huo mahosipitalini hakuna hata gloves? Aise wewe jamaa ni mssenge Sana kama huyo mama ako, mpumbavu wa mwisho wewe.
Huna akili ,huna hoja Wala facts utaweza wapi Sasa ku battle na Mimi?Sioni hata haja ya kuendelea kujibizana na wewe..
Ndio maana nimekwambia huna akili wewe elewa Hilo.Kukopa ndio njia ya fasta ya kuleta maendeleo na wewe umekiri hapa kwamba Kuna utitiri wa miradi unayodai ya mikopo 🤣🤣Hivi kati ya mimi na wewe kinabo ni nani zero brain fala wewe? Kwa hiyo kwa sababu China,Brazil na USA wanadaiwa basi unaona ni sawa tu na wewe kudaiwa? Hivi unajua hao giants mikakati yao ya kulipa hiyo mikopo iko vipi? Unajua hata National debt to Gdp ratio ya USA ikoje? Na una habari kwamba huyo USA akiamua kulifuta deni lake hata Leo hii anaweza? Je, wewe na nchi yako maskini hii unaweza kufanya hicho kitu?
Kumbe ulitakaje? Mikopo ndio msingi wa maendeleo ya fasta elewa hivyo wewe mbumbumbu wa MwendazakeYaani kabisa unaandika eti kwa vile US na China wanadaiwa basi na sisi ni sahihi tu kudaiwa? Kwanza unajua hizo hela za mikopo wao huwa hawazitumii kununua mav8 na kulipana posho za vikao kama nyie hapa?
Uwezo wako wa akili sawa na kuku ,huna hoja huna uelewa wowote ndio maana unatukana hovyo,typical ugonjwa wa akili,wahi mirembe Samia ameiboresha kutoa Huduma Kwa Ajili ya watu kama wewe.Yaani kabisa una-question my intelligence kwa hizi hoja zako za kitoto ulizoandika hapa? Wewe ni mbwa kabisa wewe tena kumma la mama ako, umenikera sana mssnge wewe.
Mafisadi wanaofungwa wako wapi? Mbona huwataji?Hili liserikali la mama ako mnaloliita sijui awamu ya sita sio tu kwamba inafuga mafisadi na majizi, bali pia inafuga wabakaji na walawiti.. mfano mzuri tuliona juzi hapa kwa yule binti wa Yombo alivyofanyiwa unyama na wale vijana wa ovyo waliokuwa wametumwa na afande Fatuma Kigonda, imagine mpaka Leo afande fatuma bado yupo analipwa mishaara na walipa kodi licha ya viashiria vyote yeye ndio alikuwa muhusika mkuu wa lile tukio, wewe unafikiri tungekuwa na raisi wa maana angelea ule ujinga kama alivyofanya mama yako samia ambaye hata kukemea tu ilikuwa ni baada ya kuona kelele za watu zimezidi.
Dhaifu ndio game changer wa Uchumi,Mapato na Mageuzi Nchi hii,huyu ndio anatufaa Sasa sisi watafutaji ,nyie majizi subirieni mazezeta wengine mje kuiba hela za jashi la watu Kwa Lugha ya UzalendoSamia ni raisi dhaifu sana kama walivyo tu marasi wenzake waislamu waliopita huko nyuma ambao hawana maarifa wala akili yoyote ya kuongoza nchi, zaidi ya kwenda kuomba omba mahela huko nje na kisha kuyaleta hapa na kugawanwa na mafisadi..
Ana hiki hapa kinachofabya awe role model wa Uchumi na kielelezo Cha mafanikio hapa Afrika na 🇹🇿.Eti awe role model sasa huyu chura kiziwe ana nini hasa cha kumfanya awe role model?
Labda mbumbumbu kama wewe ila wenye akili wataenda na mwenye akili mwenzao.nakuhakikishia leo hii ukiwawekea wabongo masanduku ya kura kati ya samia na jpm, pamoja na kwamba jpm hayupo ila huyo samia wako bado atashindwa mbali mno...
Zero content empty skull tunasifu na kusheherekea mafanikio na sio maneno matupu 😁😁 .Namba zinaongea 👇 👇Wewe na wapumbavu wenzio endeleeni kumsifia tu huyu mama yenu dakika za mwisho mwisho maana hata yeye kuna dalili zote ataishia njiani, maana nchi imekuwa kama jalala tu linalochukua uchafu wa kila aina.
Huna hoja,huna facts,huna data so unabwabwaja pumba tuu.Sina haja ya kuendelea kupoteza energy yangu bure hapa kwa mwendowazimu wewe, tafuta vinabo wenzako ndio mjibizane, senge la mwisho wewe
Huna point,kulingana na AGGRA uzalishaji wa Tanzania uliathirika kwa 6% wakati Nigeria iliathirwa kwa 80%(takwimu za FAO).Wew unahisi bado tunaishi zama za giza ama?Hapa mzee sio sehem ya kuspin the truth😂Wacha upuuzi,80% ya Tanzania wanazalisha mahindi japo 50% yanatoka Nyanda za Juu Kusini, takwimu ndivyo Zina suggest.
Ukame na mafuriko uliathiri uzalishaji Kwa kiwango Cha zaidi ya 35%,hicho unachokiona kimezalishwa ilitakiwa iwe mara dufu yaani tuwakute South Africa.
Wewe umeanza kuwa K,kama hujui Mikoa iliyoathirika basi ingia TanRoads angalia Mikoa mingapi inajengwa madaraja ya dharura ,over 800bln zinatumika.Mafuriko mwaka yaliathiri mikoa hii na maeneo yafuatayo:-
Dodoma
Dar Es Salaam
Rufiji
Kibiti
Mara
Morogoro
Mbeya (kidoogo)
Kilimanjaro
Unguja
Geita na Pwani
Sasa niambie kati ya mikoa na maeneo haya wapi ni powerhouse wa kilimo cha mahindi ukiacha Mbeya?