Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Wakati wengine wanasema ni ndogo hiyo nimeweka[emoji38][emoji38]. Na pia zilijaa kabla ya kuisha. Although kwa maeneo ya kule ni kweli hiyo ni matawi ya juu kweli. Kodi za kule nyingi around 80k- 100k.
Wanaosema ni ndogo, hao ambao wako mazingira ya kati, pia kujaa kabla ya kuisha inategemea wahitaji.

Kibaha kwa kodi ya 150k ni parefu mnoo, haijalishi upya wa majengo. Aaah wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂 Hizo walengwa ni watu wa daraja la kati na la juu mkuu. Nakuelewa though. Kuna jamaa fulani ni bodaboda waliulizia kipindi zinajengwa, kuambiwa kodi wakasema parefu sana kwao, so hawakuweza.
 
Asante sana sana nitajitahidi sana
 
Milioni 243 zako bado hujazijengea tu? Hizi ningenunua kiwanja cha 800sqm Goba kwa 45m. Inayobaki ningeweka 5 units (2-bedroom,open living area with kitchen). Kila mwezi kwa zote ningelaza 3m bila kutumia nguvu.
Umenipa wazo zuri sana. Nitafutie kiwanja basi
 
sawa sawa mkuu.
 
[emoji23][emoji23] Hizo walengwa ni watu wa daraja la kati na la juu mkuu. Nakuelewa though. Kuna jamaa fulani ni bodaboda waliulizia kipindi zinajengwa, kuambiwa kodi wakasema parefu sana kwao, so hawakuweza.
Yeaaah naelewa pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Milioni 243 zako bado hujazijengea tu? Hizi ningenunua kiwanja cha 800sqm Goba kwa 45m. Inayobaki ningeweka 5 units (2-bedroom,open living area with kitchen). Kila mwezi kwa zote ningelaza 3m bila kutumia nguvu.
Hii unit moja inaweza gharimu kiasi gani
 
Kwa wale wanaopenda real estate Kibaha ,ila hawajui pa kuanzia tuwasiliane kwa 0713 039 875
Nina viwanja vyenye hati nilivyonunua toka Manispaaa ya Kibaha,viko eneo linalozunguka hopitali ya wilaya Kibaha,kata ya picha ya ndege. Eneo hili ni kilomita 3 toka stend ya Kibaha,zinakoanzia mwendokasi za kwenda kariakoo. Pia kuna kiwanja kina vyumba viwili vya kuanzia

Attachments

  • LSH 7.PNG
    529.3 KB · Views: 2
Afadhali leo nimemjua member wa JF wa kwanza kiuhalisia, nimempangiehia my small wife hapo. Tukikutana sijui itakuwaje maana mwezi mtukufu unaanza! Dah ngoja nikukwepe hadi mwezi uishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…