Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya Lodge na Nyumba za kupangisha, ni Lodge pekee ndiyo inalipa Kwa kibiashara.nachukua mawazo ya humu afu nachanganya na mawazo kutoka kwa member mmoja humu yeye anamiliki lodge kama sikosei anaitwa Grahams nione kipi kinalipa kati ya nyumba za kupangisha VS lodge
Kwema kabisa. Naomba kazi hapo lodge kwakoMimi nimezeeka Mkuu, kwahiyo macho yangu yamepoteza uwezo wa kuhesabu hizo mbususu 😜
Vipi salama lakini?
Kabisa, uko sahihi.Sawa lakini ujue nyumba ina resale value
Yes, ni kweli. Na pia ukiwa unafanya ukarabati na nyumba ikabaki vizuri, unaiongezea thamani na ni rahisi kuongeza kodi. Nyumba ikichakaa inapunguza thamani yake.Ukarabati ni kitu muhimu kwenye majengo.
Na kama unakuwa karibu na majengo yako inakuwa rahisi lutembelea mara kwa mara na yale mapungufu unayolutana nayo unayafanyia kazi kuyarekebisha.
Shukrani sana mkuu!Hongera sana kwa uwekezaji lakini zaidi ni uwekezaji wenye kuwajali watu wanaojitafuta
Karibu sana!Nitarudi!!
KAZI ni kipimo cha utu
Uko njema sana mkuu!Eneo lifikike kwa gari hata kama ni mbali, liwe karibu na rami au utoke kabisa rami ufike, lisiwe uswahilini na vichochoroni, liwe nje ya mji kidogo sio katikati kwenye joto kali na makelele.
Otherwise basi eneo liwe sehemu expensive kama Masaki, Oysterbay na Mikocheni na hapo upangishe apartments za maghorofa na sio ujenge.
Nimetumia mfumo tuliouzoea siku zote mkuu wa shimo kubwa na dogo. Nilitaka kutumia huo mfumo wa kisasa, ila gharama niliona zinakua kubwa sana.Mkuu naomba kuulza mfumo wa mashimo ya choo umetumia huu wa kisasa wanaosema unapoteza maji au ule tuliouzoea wa shimo kubwa na dogo?
Hahahahahaha!! Tunatofautiana vipato mkuu. Lakini ishu ya kusave unaweza ifanya kwa uwezo wako. Hata kama ni ku save 10,000 kila mwezi.Eeeh zaidi ya nusu unasave sasa hapo sii inabidi uwe na mshara wa kama million 10 hivi.
Ah wee sio mwezetu
Kwa huko ni sahihi kabisa. Hizo ni prime areas sana mkuu. Si unaona hata bei za maeneo huko ni crazy numbers....!!Dar mzee,africana
Budget ya ugali maharage ikifika tarehe 15 tunaanza kopa, hiyo saving tutaitoa wapiHahahahahaha!! Tunatofautiana vipato mkuu. Lakini ishu ya kusave unaweza ifanya kwa uwezo wako. Hata kama ni ku save 10,000 kila mwezi.
Hata hiyo 150k kaweka parefu, kibaha ndo kodi hiyo? Hata km. LolTheCrocodile hongera sana mkuu kwa hii hatua. Umejipata. Wewe sasa umeingia daraja la Kati la uchumi wa Tanzania.
Vipi ungepiga kodi 200k kwa mwezi usingepata wapangaji?
Lodge faida yake kubwa ni moja cash then service, pia hakuna usumbufu wa kuharibika vitu, kusumbuana kodinachukua mawazo ya humu afu nachanganya na mawazo kutoka kwa member mmoja humu yeye anamiliki lodge kama sikosei anaitwa Grahams nione kipi kinalipa kati ya nyumba za kupangisha VS lodge
Wakati wengine wanasema ni ndogo hiyo nimeweka😆😆. Na pia zilijaa kabla ya kuisha. Although kwa maeneo ya kule ni kweli hiyo ni matawi ya juu kweli. Kodi za kule nyingi around 80k- 100k.Hata hiyo 150k kaweka parefu, kibaha ndo kodi hiyo? Hata km. Lol
True. Japokua lodge sasa changamoto yake kwenye gharama za uendeshaji za kila siku..... Mfano lazima uwe na wafanyakazi, pia gharama za breakfast. Na pia uinahitaji usimamizi wa karibu sana, mambo yasiharibike. Ila nakubaliana na wewe, pesa ipo!Lodge faida yake kubwa ni moja cash then service, pia hakuna usumbufu wa kuharibika vitu, kusumbuana kodi
Ramani alichora kwa mkono tu local fundi. Nitamcheki anitumie, karibu.Mkuu kama hutojali naomba nije pm unisaidie ramani yako,please mkuu kama inawezekana.
Shukrani sana,nitakusubiriRamani alichora kwa mkono tu local fundi. Nitamcheki anitumie, karibu.