Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.

Niliandika 1 July 2020 leo ni 11.05.2022. Tanzania imeingia mkataba na Uganda kutusambazia dawa za ARV. Ila zipo tetesi hizi dawa za ARV za Uganda zitakula vichwa vya watu kutokana na historia. Stay tune
 
Athari za Corona zimeanza kuonekana, mapato ya serikali yamepungua, wapo wanaodai hawajalipwa mishahara ya mwezi uliopita mpaka leo, na hizi athari za Corona zitaendelea kusumbua kwa miezi kadhaa ijayo.

At the middle of that, serikali zitakiwe kujigharamia dawa za kufubaza makali ya Ukimwi hazitaweza, uwezo wa waathirika kujigharamia wapo watakaoweza, ila wengi hasa vijijini watashindwa, vifo vitaongezeka, nguvu kazi itapungua.
 
ARV kitu gani tutajifukiza tu....natania tu, kati ya misaada yote mfano chanjo, mafunzo mleta mada kaona ARV tu!
 
Noma sana ndugu yangu,sahivi kuna uhaba wa reagents za pcr kwa ajili ya kupima viral load
 
Athari za Corona zimeanza kuonekana, mapato ya serikali yamepungua, wapo wanaodai hawajalipwa mishahara ya mwezi uliopita mpaka leo, na hizi athari za Corona zitaendelea kusumbua kwa miezi kadhaa ijayo.

At the middle of that, serikali zitakiwe kujigharamia dawa za kufubaza makali ya Ukimwi hazitaweza, uwezo wa waathirika kujigharamia wapo watakaoweza, ila wengi hasa vijijini watashindwa, vifo vitaongezeka, nguvu kazi itapungua.
Wafanyakazi gani wa umma hawajalipwa mshahara?
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Mtu akiwasikiliza nyie atapotoka sana
 
Hivi mlishawahi kujiuliza,ni kwa nini wapiga debe wa AIDS wanasema kwamba hayo matatizo yapo kwa wingi sana katika
nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara?
Sababu huku chini ya Sadc watu wanatiana kinyama.
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Rekebisha kiswahili kiwe Huenda siyo Uwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARV zinatolewa na PEPFAR chini ya shirika Leo la USAID na CDC kupitia MSD kwa mfulilulizo kama miaka 7 au na zaidi kwa wagonjwa zaidi ya 2m waliokatika mpango wa kupata na kufubaza hivyo virusi.Wapo walioweza kuishi zaidi ya miaka 20 wakiwa na familia na niwazalishaji Mali.Kwenye hiyo nimejumuisha watoto,vijana ambao walizaliwa nao kutoka kwa wazazi nk.Shida ya Tz nikutokuwa ba sustainability plan ya kuhakikisha tuna pesa ya kutosha hata tukianza na wagonjwa robo.WhO inaratibu shughuli za afya duniani sidhani kama inahusika mojakwa moja na kutoa dawa.Ila tujiandae kufunga kanda si kwa dawa tu bali na vitu vingine
 
Wazungo na ubaguzi wao. Walitabiri by the end of May zitakua zinaokotwa maiti mtaani kutokana na CORONA, naona sasa wanakutwa watu wakichapa kazi baada ya CORONA. Hata hili la ARV litapita kama CORONA alivyopita.
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Salaam, bahati mbaya na Mimi siyo mtaalamu mzuri wa kiswahili. Kwenye kichwa cha habari hili neno " Uwenda" l
ARV zinatolewa na PEPFAR chini ya shirika Leo la USAID na CDC kupitia MSD kwa mfulilulizo kama miaka 7 au na zaidi kwa wagonjwa zaidi ya 2m waliokatika mpango wa kupata na kufubaza hivyo virusi.Wapo walioweza kuishi zaidi ya miaka 20 wakiwa na familia na niwazalishaji Mali.Kwenye hiyo nimejumuisha watoto,vijana ambao walizaliwa nao kutoka kwa wazazi nk.Shida ya Tz nikutokuwa ba sustainability plan ya kuhakikisha tuna pesa ya kutosha hata tukianza na wagonjwa robo.WhO inaratibu shughuli za afya duniani sidhani kama inahusika mojakwa moja na kutoa dawa.Ila tujiandae kufunga kanda si kwa dawa tu bali na vitu vingine
Kwenye kichwa cha habari, hili neno "Uwenda" lina maana sasa na neno "Huenda' ??
 
Athari za Corona zimeanza kuonekana, mapato ya serikali yamepungua, wapo wanaodai hawajalipwa mishahara ya mwezi uliopita mpaka leo, na hizi athari za Corona zitaendelea kusumbua kwa miezi kadhaa ijayo.

At the middle of that, serikali zitakiwe kujigharamia dawa za kufubaza makali ya Ukimwi hazitaweza, uwezo wa waathirika kujigharamia wapo watakaoweza, ila wengi hasa vijijini watashindwa, vifo vitaongezeka, nguvu kazi itapungua.
Naona wapiga ramli mshaingia mzigoni
 
Mleta mada usitishe watu, misaada ya humanitarian haiwezi kuacha kutolewa. HIV is an infectious disease, ARV zimefanikiwa ku contain ugonjwa usisambae kwa kasi. Wakiacha kupitia bure maambukizi ya kirusi yatafika mpaka Ulaya na Marekani.
 
Back
Top Bottom