Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

Ebu eleza unachokijua ama ulichokifanyia utafiti wewe,Mkuu.

Watu wanapenda sana kupresent mambo kwa lengo la kuzua taharuki na kupotosha:
1. Document hapo chini inaeleza bei za sasa za upatikanaji wa ARVs kama zilivyotolewa na wafadhili
(Document Date: 28/01/2020).
Ukiangalia bei ya first line regimen (DTG/3TC/TDF) ambayo inatumika Tanzania kwa sasa
haifiki/haitafika hiyo bei ambayo mleta mada anataka kutuaminisha kama bei ya mwisho kwa
mlaji.

2. Hoja ya msingi tunayoweza kuiongelea ni ishu ya nchi kuwa tegemezi kwa ufadhili wa hizi dawa.
Hii ni hatari endapo wafadhili watajitoa katika kundelea na ufadhili huo. Hili linaweza kutokea
kutokana na uwezekano wa nchi fadhili kuathirika kiuchumi hasa kutokana na janga la COVID-19
hivyo kupelekea nchi hizokusitisha ufadhili na kuelekeza fedha za ufadhili kwenye maeneo
mengine.

3. Hivyo ni vizuri Serikali kuangalia namna ya kusaidia na kushirikiana na wadau wa ndani ili dawa
hizi ziweze kuwa zinatengenezwa/zinazalishwa hapa nchini kwa ubora na kwa gharama nafuu.

4. Sambamba na (3), Serikali itahitajika kutenga fedha kwa ajili ya unuzi wa dawa hizo na
kuzielekeza kwa wazalishaji wa ndani na sion kununua kutoka nje. Hii itawahakikishia wazalishaji
wa ndani kuendelea kuzalisha dawa hizo ikiwa ni pamoja na kukuza ajira n.k.

5. Pia Serikali kwa kushirikisha wadau itoe mwongozo na mpango makakati wa aina ya dawa (ARVs)
za kipaumbele za kuzalishwa nchini kulingana na data zilizopo (Consumption & forecasting na
data e.t.c).
 
Attachments

Lakini marekani ni beberu nasisi hatupendi mabeberu au baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Tutatengeneza za kwetu kiwanda Keko Pharmacy.
Mabeberu hawana nia njema na sisi, kwanza hizo daewa zichunguzwe kabla ya kutumika hapa nchini
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Ukimwi ni virus na corona pia ni virus. Kwani dawa zetu zinazotibu virus vya corona hazitibu virus vya ukimwi? Wataalam fanyeni uchunguzi.

Isije ikawa waathirika wa ukimwi wametumia dawa kujitibia corona na wamepona corona na ukimwi huku bado wanaendelea kubugia dawa za kufubaza virus vya ukimwi.
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Wewe kula Kitunguu swaumu, Kitunguu Maji chenye ganda jekundu , Pilipili kichaa, Limao
Achomaanisha ulizia combination ya dawa ya ARV utaelewa ninachokisema na ukizingatia ratiba na Kirusi chenyewe kitapotea Afrika. Watachanganyikiwa Watengeneza virusi ili kuwamaliza Waafrika.
Dawa ya kuua virusi ni kuimarisha kinga ili iweze kuviua virusi. Hakuna dawa ya kuua virusi kinachoua virus ni body immune.
 
Mkuu athari za US kukata zile funds ni ķubwa sana kuna wazee na watoto ambao matibabu yao ni bure kuna chanjo za watoto haswa measles na Polio zote izo ni free of Charge kuna kondomu za Bure, Huduma za afya nyingi ni free kwa sababu funds ni kubwa sasa kama contributor mkubwa kakata mirija basi tutegemee impact mbaya zaidi mimi naona ata huyo mu ethiopia tedro DG wa WHO hana nia njema na africa mana beneficiaries wakubwa wa hizo funds ni huku africa na asia sasa ni bora ange resigned tu mana kufanya ivo US asinge kata huo mrija, Kuliko kudanganywa n MCHINA MPUMBAVU KABISA MCHINA Ambae tunaona yanayoendelea zambia
 
Wasitubabaishe hao mabeberu, sisi tunakwenda kuwa dona kantri...tutembee kifua mbele.
 
Wewe kula Kitunguu swaumu, Kitunguu Maji chenye ganda jekundu , Pilipili kichaa, Limao
Achomaanisha ulizia combination ya dawa ya ARV utaelewa ninachokisema na ukizingatia ratiba na Kirusi chenyewe kitapotea Afrika. Watachanganyikiwa Watengeneza virusi ili kuwamaliza Waafrika.
Dawa ya kuua virusi ni kuimarisha kinga ili iweze kuviua virusi. Hakuna dawa ya kuua virusi kinachoua virus ni body immune.
Mkuu ARV ni mziki mwingine....itakuwa ni zahma kubwa sana kama hizi dawa zikikoma!!
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Hehehehehe wakijaribu tu kufanya hivyo ndipo watakapojua nguvu walizonazo waafrika wa leo, na ndipo ukimwi utakapoishia hapo hapo.
 
Kuna wengine wametumia hizi dawa na wameamua kuachana nazo na wanadunda tu
Yaani mpaka mwili unajirekebisha wenyewe na kuzoea
Kama Corona watakuwepo na watazoeleka tu
Wacha wakate kila kitu ili tujifunze kujitegemea kwani tumezidi ombaomba
Acha Uongo mkuu,hivi uongo unakunufaisha na nini??..tumezika watu kwa ajili ya kuacha kutumia hizo dawa..ushauri wangu kwako acha kupropagate mambo
 
Kama umezika baba yako sawa
Huna haki ya kuniita muongo wakati uwezo wa kusoma unao
Namjua mama wa kizungu pia ameachana na dawa hizo na ana watoto wawili mpaka leo anaishi vizuri na alihojiwa pia namjua mtz alieachana nazo
Kabla hujamuita mtu mzima muongo kwanza jiridhishe kwa kusoma au kuuliza
Ungeniuliza kwa ustaarabu ingekupunguzia pumzi yako?
Jifunze kujibu watu kwa heshima kwani ni ukomavu wa akili
Have a very nice day
 
Mkuu nimekwambia kifo kimetoka ndani kwetu baada ya muathirika kuacha kutumia ARV na kupelekea CD4 kushuka na hatimaye magonjwa nyemelezi ya kaanza kumuandama mwishowe umauti umemfikia..kwahyo si vizuri kuzungumza vitu vya uzushi kwa kusema kuna mama wakizungu ameachana na hizo dawa na anaendelea kudunda kama zamani na wewe umelibeba juu juu na kuja kutuletea uzushi huku...ntakupinga katika hili kwa sababu nina uhakika na ninachokisimamia.....kwani kukuambia muongo ndo nimekujibu kibarazuli,kwani neno uongo kwako ni tusi?
 
Kwanza unapopinga kitu au comment yoyote ni vizuri kumjibu au kuuliza inakuwaje na kumuita mtu muongo is a bit harsh na kumkosea mtu sana
Wewe una ushahidi huo na Mimi nina ushahidi pia wa mama mmoja mtz ambae amezitumia kwa mda mrefu na kumletea athari na akaachana nazo kabisa na mpaka sasa anaishi maisha ya kawaida kabisa ingawa anaenda hospitali na kuangalia mara kwa mara CD4 zake
Uwe na siku njema
Sina tabia ya uongo ndio maana limenikera mara nyingine jaribu kujibu bila jazba kwani humu wamo watu wa kila rika na kila aina
 
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.

Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya watafiti yamegeukia Africa ambao sisi niwanufaika wakubwa wa mzigo anachangia WHO. USA ana contribute mpaka USD 534m kwa mwaka. Mfano mwaka 2019 USA walichangia USD 419m kwenye fuko la WHO jambo ambalo hakuna taifa linachangia kiasi hiko.

Tanzania nimoja wa wanufaika wa michango anayotoa USA ktk fuko kuu la WHO na moja ya manufaa ni vidonge vya ARV. Tusione vile vidonge vinatengenezwa nakugaiwa bure ila thamani yake ni mpaka tshs 713k kwa kila mgonjwa na kwa tanzania tuna zaid ya wagonjwa 2.15k wakati kila mwaka kuna wastani wa wagonjwa wapya 79.9k.

Serikali zetu zimejiandaaje kutoa dawa bure bila support ya fuko la wakubwa? Hili ni swal ambalo mabunge na Serikali za Dunia ya tatu na marais lazima wakae chini nakutafuta njia mbadala. Las hivyo watu wetu watakufa na maambukiz kuongezeka kwa kiwango cha juu sana.
Siku ukipata akili utatambua kuwa hizo ARV ni pigo kwa Africa ndiyo maana zinatolewa bure hivi unadhani nia ya mzungu ni kumuokoa muafrica ? Jiulize. Kuna magonjwa mangapi watu wanaugua na dawa wanauziwa kwanini ARV ziwe Bure? Sasa hivi tumefika kwenye level ya Watu kuzaa Watoto wenye HIV ili ndiyo lengo la mzungu maana ukipata HIV ukiwa na umli wa miaka 30 na kuendelea siyo tatizo kuanza kutumia dawa utafika hata 50 yes huko ila ukianza kutumia ARV ukiwa Mdogo toka kuzaliwa umli wa ukifika 20 kifo hicho ,kizazi cha Africa kinapungua life time
 
Back
Top Bottom