Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 608
- 590
Mkuu samahani kwa kukukwaza kutokana na lugha yangu.lakini nilichotaka kukuambia ya kwamba huo ugonjwa ukiacha kutumia dawa na ikiwa ulishawahi kutumia hizo dawa unakwenda na maji...hivyo vidonge vya ARV vinasaidia kusizisha virus vya ukimwi visizaliane kwa wingi na kupelekea hivyo virusi kutokushambulia chembe hai za mwili.ukweli unabaki upo pale huo ugonjwa sio poa na unaua pindi utakapoacha kutumia dawa za kupunguza makali.Kwanza unapopinga kitu au comment yoyote ni vizuri kumjibu au kuuliza inakuwaje na kumuita mtu muongo is a bit harsh na kumkosea mtu sana
Wewe una ushahidi huo na Mimi nina ushahidi pia wa mama mmoja mtz ambae amezitumia kwa mda mrefu na kumletea athari na akaachana nazo kabisa na mpaka sasa anaishi maisha ya kawaida kabisa ingawa anaenda hospitali na kuangalia mara kwa mara CD4 zake
Uwe na siku njema
Sina tabia ya uongo ndio maana limenikera mara nyingine jaribu kujibu bila jazba kwani humu wamo watu wa kila rika na kila aina
Kuhusu kujibu hoja hilo linajulikana kuwa tuna rika tofauti humu jukwaani lakini hayiondoi thana ya kwamba mtu akisema kitu ambacho hakipo kwenye uhalisia asijibiwe kulingana na muktadha wa hiyo hoja uliyowasilishwa,pili hakujibiwa kwa jazba isipokuwa umeweka thana,kwahilo kwako litabaki ni thana..kumthania mtu ni dhambi.