Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

noma sana!!japo hizo nguvu ambazo serikali inatumia kupambana na wpinzani ingetumia kuwekeza kwenye dawa mbadala ya kutibu virusi vya ukimwi!!kuna mzee mganga alikuwa anatibu kwa siku 14!!Alitishwa akateswa akapigwa stop!!Tuna ushahidi wa watu waliopona kwa huyo mzee!!!Maeneo ya nzega kule!!
 
Kuna wengine wametumia hizi dawa na wameamua kuachana nazo na wanadunda tu
Yaani mpaka mwili unajirekebisha wenyewe na kuzoea
Kama Corona watakuwepo na watazoeleka tu
Wacha wakate kila kitu ili tujifunze kujitegemea kwani tumezidi ombaomba
 
Hivi mlishawahi kujiuliza,ni kwa nini wapiga debe wa AIDS wanasema kwamba hayo matatizo yapo kwa wingi sana katika
nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara?
Wewe uliyefanikiwa kujiuliza swali hilo ulijijibuje?
 

Hapo kwenye ma k k ndio umeonyesha umpompompo! Ungeweka namba kamili tu nakushauri, unaonekana wa ajabu sana umemix namba hizo! Mathalani unasema kuna jumla ya wagonjwa 2.15k kisha unasema tena wastani wa wagonjwa wapya kwa mwaka ni 79.9k, are you serious? Halafu karabati heading, duniani hakuna neno “uwenda” lipo “huenda”
 
Kwani WHO ndiyo huwa wanagawa hizo ARVs? Kwenye msaada wa HIV Marekani amekua akitoa moja kwa moja kupitia PEPFAR na amesema ataendelea kutoa misaada moja kwa moja kwa nchi husika ila hatashirikiana tena na WHO.
Kwani munahitaji misaada ya MABEBERU??
 
Edit usiwe mvivu kwenye 2.15k ifute "k" weka M ukishindwa kuelewa utastahili kupuuzwa.
 
Hatupaswi kuhofu sana maana uwezekano wa Donald Trump kushinda November ni mdogo sana. Na Joe Biden akishinda, ata-overrule hiyo Executive Order immediately maana Democrats wanapatana sana na China kwa sasa.
 
Umekosea Takwimu Mkuu ,Tuna wagonjwa takriban 2M.

BEBERU BAYA LAKINI KIATU CHAKE DAWA!!!
 
Kwani WHO ndiyo huwa wanagawa hizo ARVs? Kwenye msaada wa HIV Marekani amekua akitoa moja kwa moja kupitia PEPFAR na amesema ataendelea kutoa misaada moja kwa moja kwa nchi husika ila hatashirikiana tena na WHO.
kwa swali la kwanza soma thread yangu vizuri. Ila kwa hoja yapili itakuwa vyema good news
 
Hata zikipotea hao USA ni mabeberu tu khaaa
 
huu ugonjwa nao tunautafutia siku
tunapiga maombi wiki hakuna cha arv wala mipira yote tunatupa kule
 
Hivi kile kiwanda cha akina Madabida kilichodaiwa kutengeneza ARV fake kilikuwa kinamuuzia nani?
 
Kutiana mtiane nyie dawa wawape USA, mtavuna mnachokipanda.
Trump alishafikiria kukata misaada ya RV, inawagharimu kama $6 billion kwa mwaka na lijamaa haoni kwanini wengine wapewe bure wakati US sio hivyo.
Siku alipotajiwa hiyo figure alishtuka akasema "I will look into it" which kwa yy akisemaga hivyo kinachofuata ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ACHA UJINGA WAMETENGENEZA UKIMWI WAO HILI WAUZE DAWA NA KUPATA PESA......MASHETANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…