Tetesi: Uwenda ARV za bure kupotea kwenye hospitali za Serikali ikiwa USA haitobadili sera yake WHO

Mkuu samahani kwa kukukwaza kutokana na lugha yangu.lakini nilichotaka kukuambia ya kwamba huo ugonjwa ukiacha kutumia dawa na ikiwa ulishawahi kutumia hizo dawa unakwenda na maji...hivyo vidonge vya ARV vinasaidia kusizisha virus vya ukimwi visizaliane kwa wingi na kupelekea hivyo virusi kutokushambulia chembe hai za mwili.ukweli unabaki upo pale huo ugonjwa sio poa na unaua pindi utakapoacha kutumia dawa za kupunguza makali.

Kuhusu kujibu hoja hilo linajulikana kuwa tuna rika tofauti humu jukwaani lakini hayiondoi thana ya kwamba mtu akisema kitu ambacho hakipo kwenye uhalisia asijibiwe kulingana na muktadha wa hiyo hoja uliyowasilishwa,pili hakujibiwa kwa jazba isipokuwa umeweka thana,kwahilo kwako litabaki ni thana..kumthania mtu ni dhambi.
 
Hivi mlishawahi kujiuliza,ni kwa nini wapiga debe wa AIDS wanasema kwamba hayo matatizo yapo kwa wingi sana katika
nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara?
Sababu ni ARV za bure huo ni mtego mgumu kwa kichwa cha muafrica kutambua angarau ARV zingekuwa zinauzwa dozi ya mwezi sh30000
 

I accept your apology
Naelewa na nimekuelewa vizuri sana
Kwani hoja tunapinga kwa hoja
Barikiwa sana
 
I accept your apology
Naelewa na nimekuelewa vizuri sana
Kwani hoja tunapinga kwa hoja
Barikiwa sana
Kongole sana mkuu....tunapojadili jambo hatuna maana ya kuleta ligi zisizo na mantiki isipokuwa kuna mambo yatupasa kuweka sawa.... Najua ienda tumepishana umri hapa jukwaani kikubwa tuendelee kujifunza aina za majadiliano hapa jukwaani..polite/unpolite language can be used on discussion regarding with matters presented on forum..

I sincerely appreciate you, have a nice day
 

Thanks again
Nafikiri uzee pia unanifanya niwe mpole na kutumia hekima pia [emoji23][emoji23]
Najua umeelewa
 
Tuna dawa za asili. Kama corona tumeiweza iweje tushindwe kutapa mbadala wa ARVs.

Sisi ni wazee wa tiba mbadala aka wapiga nyungu.

TBC waanze kutafuta waganga na kufanya nao vipindi kama ilivyokuwa kwenye corona.
 
Dawa zinatoka usaid na mashirika mengine
Pia trump amesema ataelekeza pesa kwenye mashirika mengine ya afya
Usisahau lakini china wamesema watalipa wao hiyo pesa aliwanyima wamarekani
 
Mleta mada usitishe watu, misaada ya humanitarian haiwezi kuacha kutolewa. HIV is an infectious disease, ARV zimefanikiwa ku contain ugonjwa usisambae kwa kasi. Wakiacha kupitia bure maambukizi ya kirusi yatafika mpaka Ulaya na Marekani.
pointless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…