Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Naomba nijadili na ninyi hili jambo ambalo limetutokea juzi Mimi na rafiki yangu.
Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kusimuliwa na jamaa mmoja ambaye scientific calculator yake ikiwa nyumbani kwake na kuna rafiki yake aliitumia kwenye paper chuoni kwa kipindi kimoja.
Yaani the same time iko chuo na nyumbani. Ila sehemu moja baada ya kuisha matumizi yake ika disappear na kubaki sehemu moja tu (nyumbani).
Sasa juzi tukiwa night shift tulihitaji ufunguo wa ofisi fulani, tulienda mahali funguo zinatunzwa Mimi nikauchukua na kumpa rafiki yangu akaenda kufungua akafanya hiyo kazi akatoka na kuufunga mlango. Anasema aliirudisha funguo mahali pake ila Mimi sikumbuki.
Baadaye aliuhitaji tena ule ufunguo ila alipokwenda kwenye kabineti la funguo hakuuona, akaniuliza Mimi nikamjibu kuwa sielewi chochote kwani wewe ndiye ulikuwa na huo ufunguo akasema aliurudisha mbele yangu.
Tukaanza kuutafuta kwa muda mwingi bila mafanikio.
Tukalala, alfajiri tukaanza kuutafuta tena hatukufanikiwa.
Asubuhi tumeshindwa kuondoka mapema kwasababu issue ya funguo, tunamsubiri boss tumuombe za akiba mlango ufunguliwe watu wa day shift waendelee na majukumu.
Mara anakuja mdada mmoja tukamuuliza una funguo za ofisi fulani akajibu ndio huu hapa niliubeba kwa bahati mbaya.
Nikaucheki ndio uleule ambao tunautumia mara zote na ndio uleule ambao ulikuwa kwenye kabineti usiku.
Tulipigwa na mshangao sana.
Vipi hii hali imewahi kukukuta na inaitwaje kitaalamu?