Mkuu unajaribu kucheza na maneno tu, kwenye milango mitano ya fahamu , hayupo waamini wanadai yupo beyond apo , ukiambiwa dhibitisha unarukaruka nidhibitishe hayupoNimecheka sana, kutumia kwako "nge" kunaonyesha huna ushahidi na huwezi kutetea hoja yako. Yaani unaishi kwenye dhana.
Sasa ushasema ni muweza wa yote, halafu mbele unakanusha uwezo wake ? Hii akili ya wapi ?
Amekuwa muweza wa yote ndio maana anayafanya mpaka yale ambayo akili yako inaona sio sawa, huu ndio uwezo ulio kamilika.
Sija kushikia bastora ili umuamini Allah Fanya kinacho kufaaWhy huamini in Yahweh au Yesu? Coz hoja hizo hizo Kama nani kaumba jua au nani kawapaka rangi ndege unaweza kuzitumia kusema Yesu au Yahweh ndo Mungu. So why u ain't convinced on the existence of other gods ambao watu billion wanawaamini kuwa ndo muumba wa kila kitu?
Answer: the same reason wewe huamini miungu mingine isipokuwa Allah coz umekaririshwa na Maza yako tokea utotoni ambapo ungeweza kuamini chochote. The same reason na sisi hatuamini Allah.
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.العنىة لله عليه
Labda nikuulize na wewe Wanadamu tumetoka wapi,Tuseme mimi nahoji tu uwepo wa Mungu. usinihusishe sana na sayansi, sijawahi kutoa theory ya sayansi.
Kupinga uwepo wa Mungu haimaanishi uko upande wa sayansi.
Nielezee uwepo wa Mungu nimuelewe vizuri tu.
Kuna vitu viwili hujafanya.
1. Hujathibitisha kimantiki Mungu yupo.
2. Hujaeleza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Hujajibu swali...Allah anatofauti gani na miungu mingine ambayo umeamua kuamini...umeleta hoja mezani unaulizwa swali unakimbiaSija kushikia bastora ili umuamini Allah Fanya kinacho kufaa
Labda uniambie wewe nikuthibitishie mara ngapi. Isiwe hujaona ushahidi kwa ujinga wako au unakataa.Mkuu unajaribu kucheza na maneno tu, kwenye milango mitano ya fahamu , hayupo waamini wadai yupo beyond apo , ukiambiwa dhibitisha unarukaruka nidhibitishe hayupo
Kama hauwezi dhibitisha potezea tu kuliko kuchochora vijineno vyako vya uswahilini.
Na wewe imani zako za huyo Allah baki nazo huko huko.Sija kushikia bastora ili umuamini Allah Fanya kinacho kufaa
Kwa nini unadhani kuna sehemu binadamu tumetokea?Labda nikuulize na wewe Wanadamu tumetoka wapi,
Hakuna asili yeyote ya vitu vya Dunia.Vitu vyote duniani asili yake ni nini pls katika majibu yako usiweke hoja yoyote ya kisasnsi...
......... Ni ngumu kutofautisha sayansi na mantiki... Tena kwa vitu ambayo ni empirical /phyisical... Otherwise na wewe hutakuwa na tofauti watu wa imani...
Labda uniambie wewe nikuthibitishie mara ngapi. Isiwe hujaona ushahidi kwa ujinga wako au unakataa.
Nilikwambia ya kuwa kuwepo kwako wewe kunathibitisha wazi ya kuwa Mungu yupo. Halafu unakuja tena kutaka ushahidi. Una akili kweli kijana ? Lakini kuwepo kwa Ulimwengu na vilivyomo Kuna thibitisha uwepo wa Mungu.
Labda utuambie uthibitisho kwako wewe una sifa gani ? Usiseme hujathibitishiwa.
Yah kuna vitabu vya dini vilidai ukoma ni laana kutoka kwa Mungu ,baadae ukoma sio issues tena na kila mtu ameelewa ukoma upoje na unaweza ukajinga vpi.Sayansi imeshaelezea uumbaji wa vitu vyote ulivotaja hapo. Ni swala la muda tu lakini sayansi inatoa majibu ya vitendawili vingi anavyojiuliza mwanadamu. Imagine maswali waliyokuwa wanajiuliza mababu zetu miaka ya zamani leo hii yashapatiwa ufumbuzi
Jifunze kutoa mifano sahihi, hili ni tatizo kubwa sana ambalo mko nalo.Kuwepo kwa vitu vya wizi ndani kwangu hakuwezi kuwa ushahidi wa moja kwa moja kwamba mimi ni mwizi .
Kuna kusngiziwa na kuwekewa vitu ndan kama mtego tu .
Uwepo wa binadamu na dunia haviwezi kuwa kama ushahidi wa Mungu kuwepo .
Ndio maana uwepo wa mungu umeegemea kwenye imani zaidi
Uwanja mpana kama huu ndio umetufanya mimi na wewe tupo apa tunatilia mashaka uwepo wa Mungu .
Kama maswali gani hayo ? Unaamini kweli kwa akili ya kawaida uwepo wa Dunia ni matokeo ya Big Bang ? Hivi unaijua kweli Sayansi ?Sayansi imeshaelezea uumbaji wa vitu vyote ulivotaja hapo. Ni swala la muda tu lakini sayansi inatoa majibu ya vitendawili vingi anavyojiuliza mwanadamu. Imagine maswali waliyokuwa wanajiuliza mababu zetu miaka ya zamani leo hii yashapatiwa ufumbuzi
Imani ni hali ya kuamini au kutegemea jambo fulani pasipo na ushahidi wa moja kwa moja au thibitisho .Jifunze kutoa mifano sahihi, hili ni tatizo kubwa sana ambalo mko nalo.
Mashaka yenu yamekuja kutokana na ujinga wenu na kutofatilia mambo na kyyafikiria kwa usahihi, nyinyi mnafikiria kwa mtindo wa kifalsafa na mantiki mitindo ambayo msingi wake mkuu ni akili ya mwanadamu ambayo ni dhaifu.
Sasa onyesha ya kuwa kuwepo kwa mwanadamu si ushahidi wa uwepo wa Mungu. Hili ndio ulitakiwa ulionyeshe, kwa maana utuambie kwa ushahidi ilikuwaje mwanadamu akawepo na hii Dunia ilikuwaje ikawa hivi ilivyo. Endapo ukishindwa kufanya hivyo utakuwa huna haki ya kujadili mjadala huu, na tutakuuliza ujasiri wa kupinga kitu ambacho huna elimu nacho umeipata wapi ?
Sasa ukiegemea kwenye Imani shida Iko wapi ? Unajua maana ya imani ?
Watoto wanaokufa kwenye matetemeko na mafuriko.Wewe mwanao uliemzaa akikukosea huwezi ku
Nawewe si ulijua utazaa watoto, watoto wako wakikukosea huwezi kuwaazibu kwa maneno au kwa vitendo?
Wewe hujawahi piga hata mtoto wako?
Sioni hata sababu ya kusema dunia imeumbwa iwe kwa mungu ama kwa sayansi bado hakuna udhibitisho ila miaka ijayo sayansi inaweza fanikisha hilo kwa sababu inakua nakubadilika na kujirekebisha kila siku.Kama maswali gani hayo ? Unaamini kweli kwa akili ya kawaida uwepo wa Dunia ni matokeo ya Big Bang ? Hivi unaijua kweli Sayansi ?
Kitu nilichokiona humu, ni kuwa watu wengi wanaegemeza mambo yao au wanaipa Sayansi kazi ambayo haiwezi kuifanya, kwa kuona ya kuwa Sayansi ndio kila kitu, aisee bado mpo gizani.
Inaonekana hamjishughulishi au hamna msingi ya Sayansi au hamuhoji kuhusu Sayansi, kwahiyo mmebakia ushabiki.
Sayansi haijawahi kutoa majibu ya ukweli kuhusu uumbaji.
Hoja yako ni dhaifu sana Mkuu.Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Mkuu achana na hawa watu kisanga na nduguye ni wapotoshaji tuu. Ukweli wanaujuwa fika usipoteze muda wako hawata kuelewa nyoyo zao zishakufaKama maswali gani hayo ? Unaamini kweli kwa akili ya kawaida uwepo wa Dunia ni matokeo ya Big Bang ? Hivi unaijua kweli Sayansi ?
Kitu nilichokiona humu, ni kuwa watu wengi wanaegemeza mambo yao au wanaipa Sayansi kazi ambayo haiwezi kuifanya, kwa kuona ya kuwa Sayansi ndio kila kitu, aisee bado mpo gizani.
Inaonekana hamjishughulishi au hamna msingi ya Sayansi au hamuhoji kuhusu Sayansi, kwahiyo mmebakia ushabiki.
Sayansi haijawahi kutoa majibu ya ukweli kuhusu uumbaji.