min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu unajaribu kucheza na maneno tu, kwenye milango mitano ya fahamu , hayupo waamini wanadai yupo beyond apo , ukiambiwa dhibitisha unarukaruka nidhibitishe hayupoNimecheka sana, kutumia kwako "nge" kunaonyesha huna ushahidi na huwezi kutetea hoja yako. Yaani unaishi kwenye dhana.
Sasa ushasema ni muweza wa yote, halafu mbele unakanusha uwezo wake ? Hii akili ya wapi ?
Amekuwa muweza wa yote ndio maana anayafanya mpaka yale ambayo akili yako inaona sio sawa, huu ndio uwezo ulio kamilika.
Kama hauwezi dhibitisha potezea tu kuliko kuchochora vijineno vyako vya uswahilini.