KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Nikuulize watu wanapofanya tendo la ndoa anapatikana mtoto unafikili hapo sio uumbaji unaendelea kufanyika??Tupe uzibitisho Kwamba hivi vitu vimeumbwa na mungu,
Mbona haendelei na huumbaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize watu wanapofanya tendo la ndoa anapatikana mtoto unafikili hapo sio uumbaji unaendelea kufanyika??Tupe uzibitisho Kwamba hivi vitu vimeumbwa na mungu,
Mbona haendelei na huumbaji?
Labda ningeanza kwa kukuulizaAkili ni nini? Wewe ndiye umeitaja akili, define akili.
Halafu, hata nikishindwa kuthibitisha nina hiyo akili, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Ninaweza kusema kuwa mimi kushindwa kufanya chochote ninachotaka kufanya ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo Mungu huyo, viumbe wote wangeweza kufanya yote wanayotaka, na yale ambayo yangekuwa si mazuri, Mungu angewaziba wasiyajue na kuyataka.
Hivyo, mimi kutoweza kuthibitisha chochote ninachotaka kuthibitisha ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Unaelewa hoja yangu ni kwamba Mungu hayupo, hoja yangu si kwamba mimi nina akili?
Sasa mbona unaacha kujibu hoja yangu kwa kuthibitisha Mungu yupo, unanitaka nithibitishe akili, kitu ambacho jwanza mini sijawahi kusema nina akili, weee huja define akili ni nini, na hata nikishindwa kuthibitisha nina akili, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo, acha kuleta hoja tofauti ambazo mimi hata sizisimamii, halafu ukanipachika kwa lazima na kunitaka nizithibitishe.
Thibitisha Mungu yupo
Sasa ndugu hivi vitu ni akili ya kuchotea maji mtungini...Kwa nini unadhani kuna sehemu binadamu tumetokea?
Kuna ulazima upi wa kwamba binadamu tumetokea sehemu fulani?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea, Hata Mungu lazima awe ametokea.
Mungu huyo hawezi kuwepo hivi hivi tu pasipo kutokea sehemu fulani.
Ili muundo mzima wa kutokea sehemu fulani, ufuatwe na vitu vyote.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu pasipo kutokea sehemu fulani.
Hakuna asili yeyote ya vitu vya Dunia.
Kama asili hiyo lazima iwepo,
Je Asili ya "Asili ya Dunia" itakuwa ni ipi?
Hapo kutakuwa na Asili nyingi zisizo na mwisho.
Kwa wewe unamini nini??Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:
Hebu fikiria; unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza(jiulize akili za huyo Mungu anaewatakia maafa watu wake)
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwa ajili ya dhambi za watu wote duniani.... Kweli jamani ?
Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.
Mtoto huyu wa fundi kapenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
Badhi ya sababu za kutoamini uwepo wake hizo hapo mtoa mada. Zipinge tuone!
Nilizaliwa,sijaumbwa. Siamini katika uwepo wake na vitu mnavyompamba.Kwa wewe unamini nini??
Na unaamini ukifa unaenda wapi??
Akili ni nini?Labda ningeanza kwa kukuuliza
Hivi wewe una Akili.?...... Samahani mm nilisema vile kwa ku conclude kwamba unazo...
Labda na wewe hukunielewa mm kukuuliza hivyo maana yangu ni kwamba ' NOT EVERY THING THAT IS REAL MAKES SENSE' kwa kudhibitika kwa Logic....
Mfano mwingine binadamu tunakubali katika uwepo wa Muda (time) lakini lakini nikikwambia thibitisha... Sidhani kama utakuwa na majibu..
Vivyo hivyo kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa mantiki haimfanyi asiwepo....
Kama ambavyo ukishindwa kuthibitisha uwepo wa vijidudu kwenye maji haiifanyi visiwepo.. Inawezekana tu huna nyenzo za kukuonesha...
Hayo ni matokeo ya tendo ya ndoa, na sio uumbaji , ingekuwa mungu anaumba tunapo fanya tendo la ndoa Basi kusingekuwepo kwa ugumba ,Nikuulize watu wanapofanya tendo la ndoa anapatikana mtoto unafikili hapo sio uumbaji unaendelea kufanyika??
Muache kujadili mambo ambayo hamna ujuzi nayo, kila siku huwa nawaambia.Mkuu naona tuishie apa kwa sababu nimeshakuelewa wewe ni mtu wa aina gani akuna nitakalo jifunza kutoka kwako[emoji120]
Tuache tena🙄🙄Muache kujadili mambo ambayo hamna ujuzi nayo, kila siku huwa nawaambia.
Kazi yangu nimemaliza.
Si umesema mwenyewe watu wanafanya mapenzi Sasa hapo Kuna uumbaji ganiNikuulize watu wanapofanya tendo la ndoa anapatikana mtoto unafikili hapo sio uumbaji unaendelea kufanyika??
Bac ukishapata nyenzo za kutuonyesha utuonyeshe Mungu..Labda ningeanza kwa kukuuliza
Hivi wewe una Akili.?...... Samahani mm nilisema vile kwa ku conclude kwamba unazo...
Labda na wewe hukunielewa mm kukuuliza hivyo maana yangu ni kwamba ' NOT EVERY THING THAT IS REAL MAKES SENSE' kwa kudhibitika kwa Logic....
Mfano mwingine binadamu tunakubali katika uwepo wa Muda (time) lakini lakini nikikwambia thibitisha... Sidhani kama utakuwa na majibu..
Vivyo hivyo kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa mantiki haimfanyi asiwepo....
Kama ambavyo ukishindwa kuthibitisha uwepo wa vijidudu kwenye maji haiifanyi visiwepo.. Inawezekana tu huna nyenzo za kukuonesha...
Sasa umetumia Nini kujua kwambaSasa ndugu hivi vitu ni akili ya kuchotea maji mtungini...
Wewe ulitoka kwa wazazi wako.... Wazazi wako kwa wazazi wao trend inaenda mpaka tusikokujua..
Hoja yako haiwezi kuwa mjadala sababu tayari tumeshajiridhisha kwamba kila kitu lazima kiwe na origin... Shida tu ni kwamba origin ya baadhi ya vitu haijaweza kufahamika..
Lakini pia origin haitumiki kupinga existence.... Yaani hata kama hatujui wewe ulitoka wapi lakini tayari tunajua upo.... Vivyo hivyo hata kama hatujui Mungu alitoka wapi lakini tayari yupo... Sasa basi sisi tunafahamu kwamba huyo Mungu ambaye hatujui alikotoka ndio origin ya dunia na maisha yaliyopo duniani...
Vitu ambavyo ni complex lazima vimeumbwa/vimetengenezwa lakini si lazima process hii irudi nyuma ad infinitum kwani kwa logic hai make sense au haiwezekani ila kwa logic ina make sense kuwa itabidi iishie mahali fulani.Kama vilivyo complex hivi vyote vyenye high order hivi ulivyovitaja, bahari, jua, watu, wanyama, ni lazima viwe vimeumbwa na higher intelligence, basi complexity haiwezi kutokea bila kuumbwa na higher intelligence.
Sasa, hapo hapo linakuja swali, kwa kanuni hiyo hiyo ya kwamba kilicho complex hakiwezi kuwepo tu, ni lazima kiwe kimeumbwa, hata Mungu wako naye atahitaji kuwa ameumbwa, na aliyemuumba naye atahitaji kuwa na muumba, hivyo hivyo, bila mwisho.
Kwa hiyo, ukisema kuwa bahari, jua, watu ni lazima vimeumbwa, kwa sababu complexity haiwezi kutokea tu, kimsingi hapo unasema Mungu hayupo, labda hujaelewa tu kwamba unajenga hoja kwamba Mungu hayupo.
Ni hivi.
Ama, hivi vitu complex ni lazima viwe vimeumbwa, ama si lazima.
Kama si lazima viwe vimeumbwa, hapo Mungu hahitajiki, kwa sababu kama ulivyosema, unatumia dhana ya kwamba Mungu kaumba kudhihirisha Mungu yupo. Kama vitu hivi si lazima viwe vimeumbwa, basi Mungu hahitajiki.
Kama ni lazima viwe vimeumbwa, basi huyo unayemuita Mungu naye ni lazima awe kaumbwa, na kama ni lazima awe kaumbwa, huyo si Mungu.
Sijui hata kama una uwezo wa kuelewa hizi hoja.
Mola mlezi chanzo cha kila kitu.Acha mengine yoote, hapo kwenye JUA
Unajua nimekuwa nikitafakari umuhimu wa Jua ni mkubwa sanaaa, bila jua hatupati maji kwsbb ya Evaporation, Transpiration n.k
Bila jua hatupati chakula kwsbb mmea hutengeneza chakula kukiwa na mwanga wa jua
Jua inafanya mifupa ya viumbe vyote vyny skeletons viwe strong
Joto la jua linaneutralize climate yetu
Aliyeumba au kutengeneza jua ni nani? Aliyeweka Ozone Layer ni nani?
1.Nikijichunguza mwenyewe kama binadamu, dunia na vitu vyote vilivyomo design yake ni ya ajabu sidhani kama ni chance/probability ya hivi vitu kuwa hivi, hapo ndo nikawaza kwamba pengine kuna mtu/nguvu yenye maarifa iliyofanya yote haya.... Nilipozaliwa sikujua hili lakini kadri unavyokuwa ndio unapata kukuta theories kutoka kwa watu waliokutangulia na kuniambia hiyo nguvu/mtu mwenye maarifa anaitwa Mungu.....Sasa umetumia Nini kujua kwamba
1. Mungu yupo?
2. Dunia na maisha vina origin?
3. Hiyo origin ni Mungu?
Sawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...Bac ukishapata nyenzo za kutuonyesha utuonyeshe Mungu..
Labda ni kujibu swali kwa swali, wewe una akili?Akili ni nini?
Mara ya tatu nakuuliza swali.
Hulijibu, unazunguka tu na kurudia kutumia neno akili, ambalo hujali define.
Akili ni nini?
Akili MTU wanguSi umesema mwenyewe watu wanafanya mapenzi Sasa hapo Kuna uumbaji gani
Hoja iliyopo mezani ni udhibitishoSawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...
Hayo ni mawazo yako ni sawa na mi niseme kila demu mweupe ana mapepe...ni mawazo tu.. hujaprove bado kuwa Mungu yupo1.Nikijichunguza mwenyewe kama binadamu, dunia na vitu vyote vilivyomo design yake ni ya ajabu sidhani kama ni chance/probability ya hivi vitu kuwa hivi, hapo ndo nikawaza kwamba pengine kuna mtu/nguvu yenye maarifa iliyofanya yote haya.... Nilipozaliwa sikujua hili lakini kadri unavyokuwa ndio unapata kukuta theories kutoka kwa watu waliokutangulia na kuniambia hiyo nguvu/mtu mwenye maarifa anaitwa Mungu.....
Lakini pia imani za kishirikina nilizoshudia live sio kwa kuhadithiwa zikafanya niamini kuwa kumbe hata huyu Mungu ambae simuoni na hathibitiki kwa akili YUPO... Sababu imani za kishirikina pia hazithibitiki kwa akili.
2. Dunia na maisha vina origin sababu hata mm sio wa kwanza hapa duniani, hilo tu linaonesha kwamba kila kitu kina chanzo chake na hicho chanzo(origin) kwa viumbe na dunia ni Mungu...