Uwepo wa Panyaroad mkoa wa Morogoro

Uwepo wa Panyaroad mkoa wa Morogoro

Chimile 255

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
17
Reaction score
15
JamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.

Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.

Hali imezidi kuwa Tete hakuna amani wapendwa kumechafuka mpaka sasa wameua mtu mmoja.
 
panya road wakishafukuzwa dar wanakimbilia mikoani na south africa.kuna kipindi waliingia south hapo jozi yani unaweza kusema M23 ila waliuliwa vibaya sana kwa wakazi wa mbagara wanenu mtakuwa mshawa wakumbuka miaka ya nyuma
 
Kwa chambo apa juzi walipita kilolo mji mpya ndo waliuwa mtu mmoja
 
JamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.

Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.

Hali imezidi kuwa Tete hakuna amani wapendwa kumechafuka mpaka sasa wameua mtu mmoja.
Nani kathibitisha hicho kifo? Wewe ni msemaji wa jeshi la Polisi? Waache polisi waongee wao wenyewe. Huenda marehemu alimezwa na mamba akiwa bafuni anaoga.
Au umesahau risasi iliyo mpiga Akwilina ilivyo Ruka juu, kisha ikaanza kufuata main road hadi ikaisubiri daladala kituoni, na daladala lilipofika ikamfuata Akwilina?
 
Nani kathibitisha hicho kifo? Wewe ni msemaji wa jeshi la Polisi? Waache polisi waongee wao wenyewe. Huonda marehema alimezwa na mamba akiwa bafuni anaoga.
Au umesahau risasi iliyo mpiga Akwilina ilivy Rica juu, kisha ikaanza kufuata main road hadi ikaisubiri daladala kituoni, na daladala lilipofika ikamfuata Akwilina
Ndo maana katika post yang nmeomba ili swala lifatiliwe kwa undani sababu ata mabalozi wa mitaa wameshatutangazia Hali ya hatari pia nyumbani kwangu juzi usiku wamekuja na wamegonga bahati nzuri nilikua nimefunga milango kutokana na tahadhari niliyopewa
 
Asante na wanakuja mapema tu sana hatujui tufanye nini amani imepotea
Eti hamjui mfanye nini...Wake up man. Jipangeni fasta kwa umoja wenu wakifika muwape show moja ya kibabe na muondoke na 3-5 kesho hawatorudi tena. Acheni kulia-lia hapa. Uwezo mnao, nia mnayo na sababu mnayo. Mkibweteka eti kusubiri polisi mtakaa sana. Malizeni hiyo hoja chap.
 
Back
Top Bottom