Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Bado hawana sifa za kuwaita panya road 🤣🤣🤣
Kabisa,hao ni vibaka😂
wawaulize huko mjini daslamu sifa za panyaroad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hawana sifa za kuwaita panya road 🤣🤣🤣
Solution ni Kuanzisha Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yetu kila Balozi awe na Sungusungu wake. Wahalifu ni Wanamtaa na Sungusungu ni WanamtaaJamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.
Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.
Hali imezidi kuwa Tete hakuna amani wapendwa kumechafuka mpaka sasa wameua mtu mmoja.
Wanajua kila anaeiba ni panya road oooh 😂😂😂Kabisa,hao ni vibaka😂
wawaulize huko mjini daslamu sifa za panyaroad