Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Kikubwa miaka iliyokuwa haijulikani imejulikana na wataishia bandari ya dar tu
 
 
Kwani huyo tu aliyekuwepo? Mbona vibandiko vya rangi za da mwati vilikuwa vingi tu?
 
wewe kaa kimya,kitima humjui wewe,hana usafi wowote,padre ambae alikuwa malaya mpaka kuzaa,na lekchara mmoja wa sauti,kaa kimya tu,hana usafi wowote
 

Kitima no mtanzania anatimiza haki yake kwa kile anachaomini kama wewe unavyofanyaga
Mungu ibariki Tanzania
 
Hulipunguzii kitu kanisa katoliki. RC ikipoteza mpuuzi kama wewe ni jambo la heri.
 
Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.

Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.

Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mjinga unadhani utalishinda kanisa? Acha kujipa umuhimu kwenye Kanisa takatifu katoliki la mitume. RC na CCM hawawezi farakana kamwe.
Ni sawa kabisa kanisa katoliki ni Taasisi kubwa sana na inayoheshimika duniani, ila sasa siku nyingine wasitoe matamko ambayo wazi kabisa yana mrengo wa kisiasa na yanaakisi mawazo tu ya watu fulani ambao kwa mshangao wamegeuka ndumilakuwili kwa kuendorse na kuwepo janaπŸ˜…πŸ˜… waiache serikali ipambane na kuboresha uchumi na maisha ya watu wake ili pia waweze kushiriki vyema katika kukuza imani kwenye madhehebu yao.na kanisa lisimamie imani,upendo,amani na uinjilishaji wa habari njema✍️
 
Uliombwa kuwa kiongozi kanisani?

Kabla ya wewe kuzaliwa si umeyakuta makanisa na watu wamepata kipaimara na komunyo kabla yako

Kanisa ni mfumo au taasisi ,Kustaafu kwa mfanyakazi hakuwezi kuyumbisha taasisi

Wewe hata tungekuacha baada ya siku kadhaa kanisa lina taratibu za uchaguzi
 
TEC walisema mkataba wote ni mbovu na hawaridhii kukabidhiwa muwekezaji kutoka nje, sasa kama DP WORLD ni kampuni kutoka nyarugusu tupashane habari, halafu miaka 30 maximum kwa mkataba wa sasa kwani wa mwanzo ilikuwa miaka mingapi.
 
Dp world ni USA, na USA ni Vatican Tec hawana ujanja hapo wakina Lisu wanajichosha tu mwarabu katumika tu ili kupata uungwaji mkono na mazuzu wa imani yake. Akili nyingi zinatumika kupora mali za dunia hii. Bosi hamjui bosi.
DP WORLD ni kampuni kutoka Emirates, hii vatican na US vimeingiaje hapa mkuu.
 
Kwahyo vipengele tata vya huu mkataba ndo vilikuwa hivi 7 tu? halafu TEC si walisema mkataba wote ni mbovu ufutwe? na mkatuhubiria huku mtandaoni kuwa serikali imeshaachana na mpango wa uwekezaji wa bandari kutokana na pressure kubwa kutoka kanisani na kwa wananchi.
 
Tulipinga uwekezaji ama tulipinga aina ya mkataba?
 
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Mbona mleta mada hajaongelea habari za ushindi? Amezungumzia suala la kuhudhuria kitu ambacho siku zote umenena kuwa siyo sahihi.
 
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…Kauli Kuu
Kanisa Moja La Mitume
Sasa Haya Mambo Huambatana Na Dinari Kidogo
 
Ni IGA ipi unaizungumzia, mkuu 'Missile'. IGA ile ilikufa. Mikataba hii haina uhusiano wowote na IGA ya aina yoyote ile.

Nitakachowalaumu juu yake hawa maTEC na wengineo, ni kuwa na kichwa kama cha kuku.
Wakihadaiwa na hivi vi-Tsh100 milioni hapa na pale, na makanzu; halafu wasahau mtego unaowekwa ili uwanase tena hapo 2025; hawatakuwa na tofauti yoyote na kuku anayetupiwa punje za mchele ili awe kitoweo.
Hilo litasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…