Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Kikubwa miaka iliyokuwa haijulikani imejulikana na wataishia bandari ya dar tu
 
Tumsifu Yesu Kristu. Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:- (1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua. (2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo. Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Kwani huyo tu aliyekuwepo? Mbona vibandiko vya rangi za da mwati vilikuwa vingi tu?
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
wewe kaa kimya,kitima humjui wewe,hana usafi wowote,padre ambae alikuwa malaya mpaka kuzaa,na lekchara mmoja wa sauti,kaa kimya tu,hana usafi wowote
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.

Kitima no mtanzania anatimiza haki yake kwa kile anachaomini kama wewe unavyofanyaga
Mungu ibariki Tanzania
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Hulipunguzii kitu kanisa katoliki. RC ikipoteza mpuuzi kama wewe ni jambo la heri.
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.
1. Muda wa mkataba
2. Indicators
3. Kupimwa kila baada ya miaka 5
4. Umiliki wa hisa kwa %
5. Dp wanepewa Gati chache tu
6. Ulinzi na usalama chini ya serikali
7. Bandari za mwambao na maziwa hawahusiki nazo Dp.

Yote haya yalikuwa maoni ya TEC. Wamefanya lobbying sana.

Hata IGA imesainiwa upya. Achana na TEC hawajawahi kufeli

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mjinga unadhani utalishinda kanisa? Acha kujipa umuhimu kwenye Kanisa takatifu katoliki la mitume. RC na CCM hawawezi farakana kamwe.
Ni sawa kabisa kanisa katoliki ni Taasisi kubwa sana na inayoheshimika duniani, ila sasa siku nyingine wasitoe matamko ambayo wazi kabisa yana mrengo wa kisiasa na yanaakisi mawazo tu ya watu fulani ambao kwa mshangao wamegeuka ndumilakuwili kwa kuendorse na kuwepo jana😅😅 waiache serikali ipambane na kuboresha uchumi na maisha ya watu wake ili pia waweze kushiriki vyema katika kukuza imani kwenye madhehebu yao.na kanisa lisimamie imani,upendo,amani na uinjilishaji wa habari njema✍️
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Uliombwa kuwa kiongozi kanisani?

Kabla ya wewe kuzaliwa si umeyakuta makanisa na watu wamepata kipaimara na komunyo kabla yako

Kanisa ni mfumo au taasisi ,Kustaafu kwa mfanyakazi hakuwezi kuyumbisha taasisi

Wewe hata tungekuacha baada ya siku kadhaa kanisa lina taratibu za uchaguzi
 
wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)

7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
TEC walisema mkataba wote ni mbovu na hawaridhii kukabidhiwa muwekezaji kutoka nje, sasa kama DP WORLD ni kampuni kutoka nyarugusu tupashane habari, halafu miaka 30 maximum kwa mkataba wa sasa kwani wa mwanzo ilikuwa miaka mingapi.
 
Dp world ni USA, na USA ni Vatican Tec hawana ujanja hapo wakina Lisu wanajichosha tu mwarabu katumika tu ili kupata uungwaji mkono na mazuzu wa imani yake. Akili nyingi zinatumika kupora mali za dunia hii. Bosi hamjui bosi.
DP WORLD ni kampuni kutoka Emirates, hii vatican na US vimeingiaje hapa mkuu.
 
wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)

7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Kwahyo vipengele tata vya huu mkataba ndo vilikuwa hivi 7 tu? halafu TEC si walisema mkataba wote ni mbovu ufutwe? na mkatuhubiria huku mtandaoni kuwa serikali imeshaachana na mpango wa uwekezaji wa bandari kutokana na pressure kubwa kutoka kanisani na kwa wananchi.
 
Tumsifu Yesu Kristu.

Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-

(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.

(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.

Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya ki
Tulipinga uwekezaji ama tulipinga aina ya mkataba?
 
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Mbona mleta mada hajaongelea habari za ushindi? Amezungumzia suala la kuhudhuria kitu ambacho siku zote umenena kuwa siyo sahihi.
 
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
😃😀😅😄😁😃😀😅😅Kauli Kuu
Kanisa Moja La Mitume
Sasa Haya Mambo Huambatana Na Dinari Kidogo
 
It seems RC wameshapiga dili kimyakimya.

Zile saini za wale maaskofu 37 zimenajisiwa hivihivi.

Otherwise kwa nini wasiwe wakweli kwetu, waueleze umma na dunia kuwa kipengele gani kimebadilishwa katika IGA?

Otherwise It is shameful maaskofu kukana waraka wao kwa nyendo za aibu ya wazi namna hii!. Can't be trusted!
Ni IGA ipi unaizungumzia, mkuu 'Missile'. IGA ile ilikufa. Mikataba hii haina uhusiano wowote na IGA ya aina yoyote ile.

Nitakachowalaumu juu yake hawa maTEC na wengineo, ni kuwa na kichwa kama cha kuku.
Wakihadaiwa na hivi vi-Tsh100 milioni hapa na pale, na makanzu; halafu wasahau mtego unaowekwa ili uwanase tena hapo 2025; hawatakuwa na tofauti yoyote na kuku anayetupiwa punje za mchele ili awe kitoweo.
Hilo litasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom