kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kikubwa miaka iliyokuwa haijulikani imejulikana na wataishia bandari ya dar tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumsifu Yesu Kristu. Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:- (1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua. (2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo. Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Hukuwasikiliza vizuri.TEC walisema mkataba ni mbovu ufutwe, hawakupinga vipengele tu
Kwani huyo tu aliyekuwepo? Mbona vibandiko vya rangi za da mwati vilikuwa vingi tu?Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
wewe kaa kimya,kitima humjui wewe,hana usafi wowote,padre ambae alikuwa malaya mpaka kuzaa,na lekchara mmoja wa sauti,kaa kimya tu,hana usafi wowoteTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Tumsifu Yesu Kristu.

Hulipunguzii kitu kanisa katoliki. RC ikipoteza mpuuzi kama wewe ni jambo la heri.Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Acha hisia. Ukisikiliza vizuri zile hoja zote za TEC zimezingatiwa kwa 100%. TEC hawajawahi kuwa wanafiki.Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Ni sawa kabisa kanisa katoliki ni Taasisi kubwa sana na inayoheshimika duniani, ila sasa siku nyingine wasitoe matamko ambayo wazi kabisa yana mrengo wa kisiasa na yanaakisi mawazo tu ya watu fulani ambao kwa mshangao wamegeuka ndumilakuwili kwa kuendorse na kuwepo jana😅😅 waiache serikali ipambane na kuboresha uchumi na maisha ya watu wake ili pia waweze kushiriki vyema katika kukuza imani kwenye madhehebu yao.na kanisa lisimamie imani,upendo,amani na uinjilishaji wa habari njema✍️Wewe mjinga unadhani utalishinda kanisa? Acha kujipa umuhimu kwenye Kanisa takatifu katoliki la mitume. RC na CCM hawawezi farakana kamwe.
Uliombwa kuwa kiongozi kanisani?Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
TEC walisema mkataba wote ni mbovu na hawaridhii kukabidhiwa muwekezaji kutoka nje, sasa kama DP WORLD ni kampuni kutoka nyarugusu tupashane habari, halafu miaka 30 maximum kwa mkataba wa sasa kwani wa mwanzo ilikuwa miaka mingapi.wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
DP WORLD ni kampuni kutoka Emirates, hii vatican na US vimeingiaje hapa mkuu.Dp world ni USA, na USA ni Vatican Tec hawana ujanja hapo wakina Lisu wanajichosha tu mwarabu katumika tu ili kupata uungwaji mkono na mazuzu wa imani yake. Akili nyingi zinatumika kupora mali za dunia hii. Bosi hamjui bosi.
Kwahyo vipengele tata vya huu mkataba ndo vilikuwa hivi 7 tu? halafu TEC si walisema mkataba wote ni mbovu ufutwe? na mkatuhubiria huku mtandaoni kuwa serikali imeshaachana na mpango wa uwekezaji wa bandari kutokana na pressure kubwa kutoka kanisani na kwa wananchi.wamebadilisha vipengele, kwanini wasiende?
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Tulipinga uwekezaji ama tulipinga aina ya mkataba?Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya ki
Mbona mleta mada hajaongelea habari za ushindi? Amezungumzia suala la kuhudhuria kitu ambacho siku zote umenena kuwa siyo sahihi.Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
😃😀😅😄😁😃😀😅😅Kauli KuuKwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali!!!??
Ni IGA ipi unaizungumzia, mkuu 'Missile'. IGA ile ilikufa. Mikataba hii haina uhusiano wowote na IGA ya aina yoyote ile.It seems RC wameshapiga dili kimyakimya.
Zile saini za wale maaskofu 37 zimenajisiwa hivihivi.
Otherwise kwa nini wasiwe wakweli kwetu, waueleze umma na dunia kuwa kipengele gani kimebadilishwa katika IGA?
Otherwise It is shameful maaskofu kukana waraka wao kwa nyendo za aibu ya wazi namna hii!. Can't be trusted!
Mtuhumiwa namba moja alikuwa Magufuri,Makonda lakini wakaishia kumnyofoa Musa Asad kwenye u-C.A.GKipindi cha JPM nani alifungwa au kufukuzwa kazi kisa report ya CAG?
IGA ipi tena.Huo mkataba mpya umeuona?
IGA iko vilevile, haijabadilishwa hata nukta.