Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Ushaabiki na uzandiki ni mwingi sana kwa bongolala. Sisi hatukupinga uwekezaji bali aina ya mkataba. Sijauona huo mkataba uliosainiwa lkn walau sasa wanatamka wazi ukomo wa mkataba na mipaka ya uwekezaji hata hao wa serikali wana ujasiri wa kuitamka. Hicho ndicho tulichokuwa tunakitaka.Umemsikiliza rais?
1. Hujaona kuwa mkataba umerekebishwa na sasa una ukomo wa miaka 30?
2. Hukumbuki kuwa TEC ilipinga baadhi ya vipengele hasa mkataba kutokuwa na ukomo na sasa umerekebishwa?
3. Hujamsikia rais kuwa walilazimika kuwaingiza baadhi ya wadau kufanya majadiliano ya kurekebisha mkataba ni pamoja na TEC...LABDA?