Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Kwa ufupi sana
Wazazi wa sasa tujitathimini!
Ukisasa umekuwa mwingi, tumejisahau!
Jukumu la malezi bora kwa watoto wetu tumeweka kando.
Vijana wa kiume wanafanya mambo ya ajabuajabu sana, nafikiri unaelewa nachokizungumza: mabinti wadogo wanafanya ya kustaajabisha!
Tusiwalaumu wala tusiwatukane, tujilaumu sisi wazazi ndivyo vyanzo! Mtoto ukimpa chakula, mavazi na malazi, unaona umemalizaa!
Mtoto anakuwa chini ya uangalizi wa h.girl, wewe baba/mama unawaza kazi na biashara zako huna time na watoto.
Sio wote, lakini wengi hatujali kabisa swala hili la malezi kama mzazi.
Uko tayari kukosoa watoto wa wenzio kuwa hawana adabu, wana viburi, wako hvi na vile wa kwako je?