Uwezekano mechi ya Prison vs Yanga isichezwe leo

CCM wazee wa midundiko hawataki kupishana na hela
 
BasiBasi Yanga wajikaze wapige tu mechi hiyo kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
20191226_122417.jpg

Bodi ya Ligi wameshasema Uwanja haufai. Hivyo kesho hakuna game Mkuu.
 
Pesa walizopata watumie kuboresha uwanja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ooh. Sawa Mkuu.

Hivyo Uwanja wa Samora jina lingine unaitwa Ihefu?

Hapana, uwanja wa Ihefu uko wilayani Mbarali mkoani Mbeya. (Baada ya kuahirishwa mechi kuchezwa Sokoine, uwanja huu wa Ihefu ndio ulipendekezwa machi ipigwe. Ila kwa sababu za kiusalama ikashindikana).

Uwanja wa Samora upo Iringa mjini mkoani Iringa (ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Lipuli). Hapa sasa ndipo mechi itapigwa hiyo kesho na Tanzania Prison atakua na haki za uenyeji wa uwanja huo.
 
Ooh. Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu.

🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom