Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔 Uwanja wenyewe umeuona Mtani?Mbona Tanzania prison hawalalamiki kuhusu uwanja au Yanga mnacheza mechi peke yenu.
Jua limeshawaka kwani Mtani? 😎😎Mechi si kesho,kama tatizo ni hilo tope litakuwa limeshakauka mpaka kesho na mechi itachezwa.
Mtani umezunguka wee kumbe hii ndio aim ya kauli zako. LolTimu zijenge viwanja vyao,CCM hawawezi kukataa pesa lazima wachukue pesa zote za mpira na mziki.
Bodi ya Ligi wameshasema Uwanja haufai. Hivyo kesho hakuna game Mkuu.
Daah!! Sio tungeshinda. 😎😎😎
Uwanja mnaofanyia mazoezi Yanga unatofauti gani na huo wa Sokoine.Mtani umezunguka wee kumbe hii ndio aim ya kauli zako. Lol
Viporo sio vizuri huwa vinachacha.Bodi ya Ligi wameshasema Uwanja haufai. Hivyo kesho hakuna game Mkuu.
Ya nguoni haya Mtani. LOL.Uwanja mnaofanyia mazoezi Yanga unatofauti gani na huo wa Sokoine.
Hata na mie sikupenda iwe hivyo Mtani raha ya mechi ipangwe kisha ichezwe biashara iishe sasa kuusogeza mbele tena inakuwaga hamna jinsi tu.Viporo sio vizuri huwa vinachacha.
Inasemekana Mchezo umehamishiwa Iringa uwanja wa Samora Mtani. Hivyo hamna kiporo tena.Viporo sio vizuri huwa vinachacha.
Match haitachezwa tena hapo Ihefu kutokana na usalama kuwa mdogo. Match imeahirishwa kabisa.Inasemekana Mchezo umehamishiwa Iringa uwanja wa Samora Mtani. Hivyo hamna kiporo tena.
Ooh. Sawa Mkuu.Match haitachezwa tena hapo Ihefu kutokana na usalama kuwa mdogo. Match imeahirishwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah!! Sio tungeshinda. [emoji41][emoji41][emoji41]
Ooh. Sawa Mkuu.
Hivyo Uwanja wa Samora jina lingine unaitwa Ihefu?
Ooh. Ahsante kwa ufafanuzi Mkuu.Hapana, uwanja wa Ihefu uko wilayani Mbarali mkoani Mbeya. (Baada ya kuahirishwa mechi kuchezwa Sokoine, uwanja huu wa Ihefu ndio ulipendekezwa machi ipigwe. Ila kwa sababu za kiusalama ikashindikana).
Uwanja wa Samora upo Iringa mjini mkoani Iringa (ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Lipuli). Hapa sasa ndipo mechi itapigwa hiyo kesho na Tanzania Prison atakua na haki za uenyeji wa uwanja huo.
Mlifuraaaaahi wenyewe🤣🤣🤣Bodi ya Ligi wameshasema Uwanja haufai. Hivyo kesho hakuna game Mkuu.
Walaaa 💃💃💃💃Mlifuraaaaahi wenyewe🤣🤣🤣