ndio maana nakwambia utulie,unafikiri kwanini lowassa amerejea ccm 2020,kama walimtibua???Hamna kitu..kila mtu anajua CCM baada ya a Lowassa kwenda upinzani ilikuwa maji ya shingo.. ilibidi wamchukue Magu kwasababu ilikuwa haina jinsi. Hamna anaweza mchagua chizi kama lile
Atakuwa alikuwa na MTU huko inside. Wanadai ni mara nyingi amekuwa akizima lakini anaibuka. Chanzo kimoja kinadai siku anamwapisha Bushiri alitoka kwenye drip. Mzee alikuwa dhaifu lakini alikuwa anajistress wakati anajua gonjwa lake halitaki hekaheka.Nguseroh aliandika zaidi ya mara tatu.
Anee link Che
Baadhi ni kama ifuatavyo.Nimefuta hata sipati ngoja niendelee kutafuta nakumbuka nilimquote alikua ni nguseroh
Aliekuwa anatoa kipigo cha mbwa mwizi kafa yeye, mbwa mwizi kabaki. Hivi mataga mna akili gani zisizobadilika? Wanasemaga na ndivyo ilivyokuwa kwamba ukitaka tukujue angalia marafiki zako waliokuzungukaUzi huu hauna maana yoyote , MAGUFULI alichaguliwa Kwa kishindo , CCM walitoa kipigo cha kufa mtu Kwa upinzani ,kipigo cha mbwa mwizi
Deep state ndio inahusika na masuala ya umeme wa moyo? Kwa nini hamtaki kukubali kuwa mwamba aliikosea mbingu na ardhi? Imagine tu mtu anafananishwa na Mungu na yeye kaka kimya tu, imagine tu!Huyu "mchambuzi wa kisiasa" mpaka anatoa mawazo haya, alikuwa anajua kinachoendelea chini kwa chini. Deep state ilikuwa imefanya maamuzi yake na ilikuwa imemaliza. Ilikuwa bado utekelezaji tu
😂😂😂😂😂 Daaaah speechless
Afu mwingine akakoment "Mungu hawezi kuvumilia upumbafu" yaaani hawa ni raia wenzetu auHiki kifo utadhani kuna watu walikiona, kuna yule jamaa wa humu aliandika comment yake mwaka 2020 kwamba "mwakani Taifa litakua na msiba" bado huwa namtafakari sana. Na pia akasema nchi itaongozwa na mwanamke
Maono.....Afu mwingine akakoment "Mungu hawezi kuvumilia upumbafu" yaaani hawa ni raia wenzetu au
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
Na yeye sasaiv analiwa na mafunza huko na wanaume wanaendelea kula wine na kula watoto wazuri..anafanyaje huko aliko?ndio maana nakwambia utulie,unafikiri kwanini lowassa amerejea ccm 2020,kama walimtibua???
alikuwa anakuja kufanya nini!!
halafu kwani aliyechukua fomu alikuwa yeye peke yake!!!
lile lilikuwa chizi kweli kweli,na lilijua namna ya kuwasokota wanaume mchelemchele wanaojiita wa mjini,mpaka sasa mna kichefu chefu cha mimba yake[emoji38][emoji38]
funza hawaishi chini kule,sema analiwa na bacteria.Na yeye sasaiv analiwa na mafunza huko na wanaume wanaendelea kula wine na kula watoto wazuri..
Ebwanaaee... msiba wa furaha!!kuna watu aidha ni manabii au Wana inside information za uhakika kama huyu!View attachment 1817683View attachment 1817684
Ka thread kamepatikana....
August hizo hapo teh hiyo ilikua 2020
Hivi Unajua mtu akiwekewa umeme wa moyo, inatakiwa akae miaka mingapi mpaka izungue? Tuanzie hapo kwanza..Deep state ndio inahusika na masuala ya umeme wa moyo? Kwa nini hamtaki kukubali kuwa mwamba aliikosea mbingu na ardhi? Imagine tu mtu anafananishwa na Mungu na yeye kaka kimya tu, imagine tu!
Acha uongoDeep state ndio inahusika na masuala ya umeme wa moyo? Kwa nini hamtaki kukubali kuwa mwamba aliikosea mbingu na ardhi? Imagine tu mtu anafananishwa na Mungu na yeye kaka kimya tu, imagine tu!
Aisee Kuna watu hata Kama Ni chuki hii imezidi.Death is the only way for all of us tumuache uyu mzee apumzike kwa amaniMlijisahaulisha nguvu ya Mungu. Kafa Kama panya
CHADEMA haiwezi kuja kuongoza hii nchi hata iweje.Bora iendelee na shughuli zingine sio kusubiri embe chini ya mnaziWaislam tunasema :
"... laa yazidu dhwalimina ila khasara ..."
Tafsiri: ...hatozidishiwa mdhulumati ila atapata hasara ...
Hiyo ndio hasara ya kudhulumu uchaguzi wa kishindo akadhani amepata faida kumbe hasara ya umauti ilikua inamsubiri mbele yake
Masikini MAGUFULI pengine angetenda haki akakubali matokeo halali labda angebaki hai kushuhudia utawala wa CDM pole yake
Kibaya zaidi sio hasara ya kifo tu bali anahasara ya adhabu ya umauti wa milele kutoka na matendo yake ya kidhalimu, kuua watu, kuteka watu, kusingizia watu kesi yaani huko aliko anakula moto mwanzo mwisho Shubaamiti zake !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Bali?