mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ndio maana nakwambia utulie,unafikiri kwanini lowassa amerejea ccm 2020,kama walimtibua???Hamna kitu..kila mtu anajua CCM baada ya a Lowassa kwenda upinzani ilikuwa maji ya shingo.. ilibidi wamchukue Magu kwasababu ilikuwa haina jinsi. Hamna anaweza mchagua chizi kama lile
alikuwa anakuja kufanya nini!!
halafu kwani aliyechukua fomu alikuwa yeye peke yake!!!
lile lilikuwa chizi kweli kweli,na lilijua namna ya kuwasokota wanaume mchelemchele wanaojiita wa mjini,mpaka sasa mna kichefu chefu cha mimba yake[emoji38][emoji38]