gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Mpira magoli. Ulisikia wapi timu inakuwa bingwa kwa ball possesionUna uhakika gani kama atabeba? Ukiangalia ball possession kazidiwa sana, sema ni bahati tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira magoli. Ulisikia wapi timu inakuwa bingwa kwa ball possesionUna uhakika gani kama atabeba? Ukiangalia ball possession kazidiwa sana, sema ni bahati tu.
Mpira magoli. Ulisikia wapi timu inakuwa bingwa kwa ball possesion
Mwambie huyo!
Bahati ipo kwenye kamari wewe
.
hatuta lala, wengekuwa na ubora we juventus sijui ingekuwaje
Hii timu mtaani kwetu hushabikiwa zaidi na ma - house girl. Yaani ni kelele zisizo na mwafaka...ile penalty si kila refa angetoa.
Huyo juve mechi ya marudino nilimfunga hapo hapo kwakeUtd si sawa na timu kama Lipuli,Ndanda,Arsenal na Kcmc.
Bahati!?Goli 3 bahati?
No way united ataweza mbele ya barca,cityKwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.
Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.
Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.