Uwezekano wa Man Utd kuwa bingwa wa UEFA ni 98%.

Uwezekano wa Man Utd kuwa bingwa wa UEFA ni 98%.

Kuitoa PSG mnaona kama mshazitoa Barcelona...Bayern..Juve...Atletico..Spurs...liverpool na sasa mnacheza fainali na Sunderland...na hata ingekua hivyo bado 98% hazijafika.
 
Kwa ubabe waliouonyesha usiku wa kuamkia leo ni wazi hao vijana wadogo na wapambanaji watafika mbali.

Matokeo ya usiku ulioisha hayakutarajiwa na yeyote!Wengi wetu tuliamini kwa kufungwa kule kwao magoli mawili ndiyo ilikuwa mwisho wa safari yao.Ajabu kilichotokea ni historia.

Kwa muktadha huo nawapa asilimia nyingi Man Utd ya kuwa washindi wa kombe lile.
No way united ataweza mbele ya barca,city
 
Hongereni sana wazee, naona mambo sio mabaya kwa Dybala 😀😀

Screenshot_20190307-200546_Instagram.jpg
 
Manure hawatakaa hata siku moja washinde UCL wala EPL as long as Klopp & Pep wanaendelea kuwepo Liverpool & ManCity respectively.

ndiyo ukweli japo unauma!
 
Back
Top Bottom