Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Kwani kuna tatizo gani?Duh mada km hii kumbe inaruhusiwa jamiiforum
Umesoma uzuri au unakurupuka ndugu mtabiri?Hii nchi kasoro mimi tu kila mtu amekuwa ni mtabiri. Haya
Ulichotabiri nimesema ' Haya' yaani nimekubaliana na utabiri wako.Umesoma uzuri au unakurupuka ndugu mtabiri?
Fumbo mfumbie mjinga mwanangu. Nami nimekuelewa na nakupongeza.Ulichotabiri nimesema ' Haya' yaani nimekubaliana na utabiri wako.
Ili anifanye nini? Hivi wahanga wa Oktoba 29 wanaweza kumuombea samuya maisha marefu!!!Adui yako muombee aishi maisha marefu
Hizi ni ramli chonganishi na kukosa ustaarabu wa kibinadamu.View attachment 3619390
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya kizazi ilhali Museveni ana maradhi anayoficha hasa uwezekano wa kuwa na stroke upande wa kulia. Ukiangalia anavyotembea mkono pembeni, unahisi kuna kitu kinafichwa.
Kwa wachunguzi wa mambo naomba mawazo yenu kuhusiana na vioingozi hawa waovu wa kiafrika.
Haya, endelea kuwafumbua wajingaFumbo mfumbie mjinga mwanangu. Nami nimekuelewa na nakupongeza.
Museveni pia ana prostate kansa,ama ana vyotembea hiyo ni athari ya vita alipigwa risasi.Hayo mengine ayajuaye ni Mungu,unaweza kufa wewe ukawaacha hao woteView attachment 3619390
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya kizazi ilhali Museveni ana maradhi anayoficha hasa uwezekano wa kuwa na stroke upande wa kulia. Ukiangalia anavyotembea mkono pembeni, unahisi kuna kitu kinafichwa.
Kwa wachunguzi wa mambo naomba mawazo yenu kuhusiana na vioingozi hawa waovu wa kiafrika.
Sasa utatabiri kuwa mwezi ujao fulani ataleta makontena wakati unaona ameagiza? Ila kutabiki kuwa meli itakayo beba hayo makomtena itazama ndio utabiri wenyeweJe nyie watabiri mbona Huwa mmejikita ktk mambo mabaya tu shida yenu Huwa ni nini ?
kwani wewe ni mzima kiafya gentleman? na utamaliza kweli mwaka huu?View attachment 3619390
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya kizazi ilhali Museveni ana maradhi anayoficha hasa uwezekano wa kuwa na stroke upande wa kulia. Ukiangalia anavyotembea mkono pembeni, unahisi kuna kitu kinafichwa.
Kwa wachunguzi wa mambo naomba mawazo yenu kuhusiana na vioingozi hawa waovu wa kiafrika.
Ahaaa.Sasa utatabiri kuwa mwezi ujao fulani ataleta makontena wakati unaona ameagiza? Ila kutabiki kuwa meli itakayo beba hayo makomtena itazama ndio utabiri wenyewe