View attachment 3619390
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni.
Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya.
Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya kizazi ilhali Museveni ana maradhi anayoficha hasa uwezekano wa kuwa na stroke upande wa kulia.
Ukiangalia anavyotembea mkono pembeni, unahisi kuna kitu kinafichwa.
Kwa wachunguzi wa mambo naomba mawazo yenu kuhusiana na vioingozi hawa waovu wa kiafrika.