Uwezekano wa Taznania kuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi

Nakubaliana na wewe kabisa. Mabadiliko ya mifumo kandamizi inaletwa na wananchi sio jumuiya za kimataifa. Japo pia zinasaidia kupush for that change. Wapinzani wasitegemee sana mataifa ya nje, waongeze pia nguvu zao. Angalia Malawi
 
That's just a part of it, soma makala hii hapa, sanctions zinahuishwa na ukandamizwaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu

Who are Zimbabwe sanctions hurting?
 
That's just a part of it, soma makala hii hapa, sanctions zinahuishwa na ukandamizwaji wa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu

Who are Zimbabwe sanctions hurting?

Hakuna kitu kama hicho Dunia hii, sanctions siku zote zinaendana na maslahi, nchi huamua tu kuweka sanactions kama maslahi yake yamehatarishwa na si vinginevyo, kama ingekuwa hivyo nchi kama Uganda au Rwanda wangeshawekewa hizo sanctions zamani sana, ...
 
Chadema acheni utoto
 
Acha aharibu ili washambuliwe kutoka angani kama ilivyofanyika Libya then muda mfupi mtu auwawe kwenye mtaro kama Gadaff ili tuanze upya. Tumechoka na kikundi kinachoitwa ccm
 
Haya bwana tumekusikia, maana sisi waafrika tunawabudu sana weupe na ndio maana hatuendelei kabisa.
 
Acha aharibu ili washambuliwe kutoka angani kama ilivyofanyika Libya then muda mfupi mtu auwawe kwenye mtaro kama Gadaff ili tuanze upya. Tumechoka na kikundi kinachoitwa ccm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sidhani kama tunaweza kufika huko kwa Libya
 
Namuomba mungu tufike ili mambo yawekwe sawa. Tumwagane mavi hapa watu wapoteane hapo ndipo ccm watajua kuwa hata ofisi walizonanzo ni za wananchi.
 
Hata marehemu Mkapa alikuwa hana imani na hii tume ya majizi tumeccm.

Amini amini nakwambia CCM haishindi uchaguzi wa mwaka huu. Tukutane October
 
Hata marehemu Mkapa alikuwa hana imani na hii tume ya majizi tumeccm.

View attachment 1545214
Usimshabikie marehemu Mkapa. Uchaguzi wa kwanza kabisa Tanzania ulifanyika kwa tume huru. Wasimamizi walikua si wateule wa Rais bali waajiriwa. Ila 2000 mkapa, kwa kisingizio cha kusave costs akataka wasaidizi wa uchaguzi wawe wakurugenzi, hapo ndipo Tume ya CCM iliundwa. Lakini labda alijutia, baada ya kuona jinsi Magufuli anasema "ole wenu mumtangaze mpinzani wakati nawalipa mshahara" Mungu amlaze mahala pema peponi.
 
Napenda na natamani sana iwe hivi... ila tuwe wahalisia, kwa tume hii na policcm hawa, tutasubiri sana
Mark my words. Kuna historia kubwa sana inaenda kuandikwa Tz kwenye uchaguzi huu. This is 2020
 
Jeshi la polisi lijiandae vizuri saana.... askari wamwagwe kila kona ya nchi na baada ya kupiga kura watu warudi nyumbani.

Nchi haiwezi endeshwa kwa mihemuko na hisia.
 
Jeshi la polisi lijiandae vizuri saana.... askari wamwagwe kila kona ya nchi na baada ya kupiga kura watu warudi nyumbani.

Nchi haiwezi endeshwa kwa mihemuko na hisia.
Eti turudi nyumbani? Are we a military/police state?? Kuiba kura mtaiba ila.cha moto mtakiona
 
Eti turudi nyumbani? Are we a military/police state?? Kuiba kura mtaiba ila.cha moto mtakiona
Hata ukihesabu kura wewe hawezi kushinda...binafsi ninachoogopa ni machafuko maana ana wafuasi hili sikatai.

Kura za kuibwa hazipo... 2015 vituo vingi wananchi walipiga kura na kurudi nyumbani na mwaka lifanyike vile vile.
 
Come what may, this country has to get better and it will never under this regime. This regime should not be allowed another term in office!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…