BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Wala simshabikii kwani naye alitenda maovu chungu nzima ikiwemo kufanya biashara na mkewe wakiwa Ikulu, lakini kitendo cha yeye kusema hadharani kuhusu umuhimu wa kuwepo Tume Huru na pia kampeni kuwa huru na za haki kwa vyama vyote na kura kuhesabiwa kwa uwazi/hadharani si kauli ya KUPUUZWA.
Usimshabikie marehemu Mkapa. Uchaguzi wa kwanza kabisa Tanzania ulifanyika kwa tume huru. Wasimamizi walikua si wateule wa Rais bali waajiriwa. Ila 2000 mkapa, kwa kisingizio cha kusave costs akataka wasaidizi wa uchaguzi wawe wakurugenzi, hapo ndipo Tume ya CCM iliundwa. Lakini labda alijutia, baada ya kuona jinsi Magufuli anasema "ole wenu mumtangaze mpinzani wakati nawalipa mshahara" Mungu amlaze mahala pema peponi.