Usimshabikie marehemu Mkapa. Uchaguzi wa kwanza kabisa Tanzania ulifanyika kwa tume huru. Wasimamizi walikua si wateule wa Rais bali waajiriwa. Ila 2000 mkapa, kwa kisingizio cha kusave costs akataka wasaidizi wa uchaguzi wawe wakurugenzi, hapo ndipo Tume ya CCM iliundwa. Lakini labda alijutia, baada ya kuona jinsi Magufuli anasema "ole wenu mumtangaze mpinzani wakati nawalipa mshahara" Mungu amlaze mahala pema peponi.
Sasa unafananisha Zimbabwe na Tanzania yetu? Zimbabwe Mugabe alinyang'anya mashamba ya Muzungu bila ya fidia, alitaifisha migodi iliyokuwa inamilikiwa na kampuni za Muzungu bila fidia na kumpa Mchina, na ndiyo maana sanctions zilifwata sasa hapa kwetu ni lini tumetaifisha au kunyang'anya na kupora mali ya Muzungu?
Uchaguzi huu tunagharimia kwa asilimia Mia moja bila pesa ya mfaddhili toka Tanzania ipate Uhuru billion 321 pesa zetu zinagharimia tutaelewana tu taratibu
Sasa lissu asipokubali kitatokea nini kwani?Ndio maana hata Sirro matamshi hayaishi!
Wakibanwa vilivyo,kitachotokea ni wao kuhakikisha kwenye uraisi mtu fulani anapeta ila kwenye ubunge na udiwani, itabidi walegeze ili kuonyesha dunia kuwa kuna fairness fulani ingawa Lissu hatokubali iwapo atakuwa na uhakika wa kushinda.
Wacha tusubiri.
Come what may, this country has to get better and it will never under this regime. This regime should not be allowed another term in office!
Dah!..Ni vyema wanaohusika na huu uchaguzi watende haki wasitufikishe huko tusipopataka.Baada ya uchaguzi, mtafurahi wenyewe
Tz si failed state.
We una frustrations zinakusumbua ndio maana unaropoko tu!!Wenzenu wako field huko wanasaka kura kwa mipango nyie na hako ka Lisu kenu mmekomaa jf.
Baada ya oktoba mtapigwa sana ban hapa jf maana mtakuwa mnatukana hovyo kama vichaa baada ya kuambulia asilimia 20
Jaji Kaijage awe makiniDah!..Ni vyema wanaohusika na huu uchaguzi watende haki wasitufikishe huko tusipopataka.
Ndani ya hii miaka mitano zimepitishwa sheria tata sana, sijajua lengo la watawala lilikuwa nini.Haisaidii?? Je una habari mwaka 2019 serikali ilibadilisha sheria kandamizi ya Takwimu kisa ya pesa za hawa mnaowaita mabeberu?? Tuache uchaguzi uendelee ndio tutajua unasaidia au lah!!
soma hapa - Tanzania Drops Threat of Prison Over Publishing Independent Statistics
Ni uoga tu, lengo ni kukandamiza uhuru wa maoni na wa watu.Ndani ya hii miaka mitano zimepitishwa sheria tata sana, sijajua lengo la watawala lilikuwa nini.
umeenda Rwanda wewe au unapoka tu,angalia zimbambwe walamba matapishi yao,soon mtalia,hatukwepi vikwazo awamu hiiHizi kelele za hawa mabeberu zingekuwa zina saidia Mataifa kama Uganda, Rwanda, KoreaN, Iran nk yangesha futika katika ramani ya dunia maana hawa ya pende kwelikweli. Kinachotakiwa hapa ni msimamo kisawasawa na kuwapotezea waone vitendo tu. Uzuri wenyewe kibaraka wao tunaye. Na mawasiliano yake na wao unaweza kuyasoma kama hivi.
Yetu macho kila mtu anapindisha hoja kuelekea atakako lolote laweza toka tusubiri tuone.Kama ni kweli unafanya kazi Ubalozini basi utakuwa aidha ni dereva au karani kwa maana inaelekea wala hauelewi jinsi Uhusiano wa kidiplomasia unavyofanya kazi, Muzungu hawezi kuiwekea Tanzania yetu sanctions sababu ya Tundu lisu acheni kujidanganya, Muzungu anaweza tu kuiwekea Tanzania yetu sanctions kama Tanzania yetu inahatarisha maslahi yake, hakuna zaidi ya hapo.
Na mpaka sasa hivi maslahi ya Muzungu na international community yako intact kuanzia kushiriki kwa majeshi yetu kwenye vikosi vya kulinda amani, US Military command Afrika wako kwetu pia mpaka uwekezaji wa Mkampuni ya Muzungu hapa kwetu kuanzia madini mpaka Benki kama NMB na CRDB kote huko kuko intact sasa hizo sanctions waweke kwa lipi? Isitoshe kwani hao akina Tundu lisu wameanza leo kujiuza huko kwenye ofisi za muzungu kutaka hilo litokee mbona kimya mpaka leo hii na hakuna santions zozote?
umeenda Rwanda wewe au unapoka tu,angalia zimbambwe walamba matapishi yao,soon mtalia,hatukwepi vikwazo awamu hii
Au sio?? Aya tusubiri tuone..Kama wakat wa corona tuliish bila kusafir wala kupokea wagen acha waweke vikwazo vyao pia hatuwez kuwekewa vikwazo kwa mtu mjinga na tapel kama lissu
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app