Mbongo4life
Senior Member
- Nov 1, 2021
- 132
- 270
Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi , wanajenga kwa kuripua yaani ili mradi tu .
Hawana uhadirifu kabisa sasa mtu atafute pesa ya kuwalipa na bado awepo site muda wote ili kulinda ubora wa kazi na vifaa. Wangekuwa na akili wangejua kwamba ukitaka kufanikia jambo la kwanza ni uhadirifu, ukiwa muhadilifu kila utakayemfanyia kazi ataku-refer kwa wengine so more jobs and more money lakini sasa kama lazima nikuchunge muda wote unazani naweza kumshauri mtu mwingine akutumie?