RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Nondo hapo kuna za mkanda wa chini na mkanda wa juu, halafu nguzo.Nina wasiwasi huyu jamaa ametoa tuhuma za wizi bila kujiridhisha.
Kiwanja cha 1,000 sqm= 33×30m.
Hiki kinaweza kujengwa tofali zisizopungua 3,700.
Bado cement
Mchanga
Nondo
Urembo
Plasta
Gate
Gharama za mjenzi.
Hii pesa ni ndogo
Kuna kitu kinaitwa plaster kinakula mifuko ya cement balaa
Ndio maana mimi fence najenga msingi tu ukuta namalizia baada ya nyumba kukamilika. Gharama yake inatia uchungu. Imagine tofali 3,700 si zinasimamisha nyumba nzima ya vyumba vitatu kabisa?