Nondo hapo kuna za mkanda wa chini na mkanda wa juu, halafu nguzo.Nina wasiwasi huyu jamaa ametoa tuhuma za wizi bila kujiridhisha.
Kiwanja cha 1,000 sqm= 33×30m.
Hiki kinaweza kujengwa tofali zisizopungua 3,700.
Bado cement
Mchanga
Nondo
Urembo
Plasta
Gate
Gharama za mjenzi.
Hii pesa ni ndogo
Nimesema hiyo ni ukuta na nguzo tu gate na plaster na mengine hayakuwa kwenye hiyo bajetiNina wasiwasi huyu jamaa ametoa tuhuma za wizi bila kujiridhisha.
Kiwanja cha 1,000 sqm= 33×30m.
Hiki kinaweza kujengwa tofali zisizopungua 3,700.
Bado cement
Mchanga
Nondo
Urembo
Plasta
Gate
Gharama za mjenzi.
Hii pesa ni ndogo
Kwahio hapo hawajapiga plaster wala urembo kwenye nguzo?no hiyo ni ukuta na nguzo tu no any finishing
Jamaa kumbe walikubaliana bila finishing. Ana haki kulalamika kaibiwa.Nondo hapo kuna za mkanda wa chini na mkanda wa juu, halafu nguzo.
Kuna kitu kinaitwa plaster kinakula mifuko ya cement balaa
Ndio maana mimi fence najenga msingi tu ukuta namalizia baada ya nyumba kukamilika. Gharama yake inatia uchungu. Imagine tofali 3,700 si zinasimamisha nyumba nzima ya vyumba vitatu kabisa?
Kwanini?Ana haki kuibiwa.
Typing error mkuu.Kwanini?
Anacholalamikia hapa ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Fundi lazima umsimamie,usipomsimamia unaibiwa au anatoa boko! Hela zako ila unateseka kinoma.Typing error mkuu.
Nilimaanisha ana haki kulalamika.
Ilikuwa kujenga tu bila finishing na anadai ujenzi nao haujakamilika.
No hayo mengine nilitaka kufanya nikiwepo maana likizo nakuja …. jamaa hadi mkanda wa chini hawajawekaHapo sawa.
Nilijua ukuta umekamilika hadi urembo
Ni kweli hili tatizo ni kubwa sana lkn wapo waaminifu japo ni wachache.Anacholalamikia hapa ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu. Fundi lazima umsimamie,usipomsimamia unaibiwa au anatoa boko! Hela zako ila unateseka kinoma.
Mkuu.No hayo mengine nilitaka kufanya nikiwepo maana likizo nakuja …. jamaa hadi mkanda wa chini hawajaweka
Nilipewa recommendation ya kumtumia huyo fundi sasa nikaona hukuta sio big deal acha nijenge nikiwa huku lakini nyumba nitajenga nikiwa huko nitatumia contractorMkuu.
Epuka kujenga bila vonsultant.
Mnapata hasara kubwa kwa kukwepa gharama ndogo.
Naam.Nilipewa recommendation ya kumtumia huyo fundi sasa nikaona hukuta sio big deal acha nijenge nikiwa huku lakini nyumba nitajenga nikiwa huko nitatumia contractor
Ndugu yangu hilo ni jambo la kawaida katika jamii yoyote.Mafundi wa Tanzania bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka kwa mafundi wa nje . Mashundi wetu wanapenda sana short cut na kona … ukiwapa mwanya kidogo tu wanakuibia vifaa vya ujenzi , wanajenga kwa kuripua yaani ili mradi tu .
Hawana uhadirifu kabisa sasa mtu atafute pesa ya kuwalipa na bado awepo site muda wote ili kulinda ubora wa kazi na vifaa. Wangekuwa na akili wangejua kwamba ukitaka kufanikia jambo la kwanza ni uhadirifu, ukiwa muhadilifu kila utakayemfanyia kazi ataku-refer kwa wengine so more jobs and more money lakini sasa kama lazima nikuchunge muda wote unazani naweza kumshauri mtu mwingine akutumie?
Baadae nitaambatanisha na picha za ukuta muone ...its terrible fundi hawezi hata kunyoosha hukuta kazi mbovu sanaNaam.
Kuna tofauti kubwa ya kutumia contractor na fundi.
Fundi akiharibu hawezi kukulipa lkn contractor atafidia mkuu
Ukiwa na cash mkononi chukua likizo. Ukija unajenga mpaka hatua fulani kama likizo imeisha unaachia hapo.Nilipewa recommendation ya kumtumia huyo fundi sasa nikaona hukuta sio big deal acha nijenge nikiwa huku lakini nyumba nitajenga nikiwa huko nitatumia contractor
Pole sana.Baadae nitaambatanisha na picha za ukuta muone ...its terrible fundi hawezi hata kunyoosha hukuta kazi mbovu sana
Pole sana mkuuBaadae nitaambatanisha na picha za ukuta muone ...its terrible fundi hawezi hata kunyoosha hukuta kazi mbovu sana
Mkuu kama fundi Hana uwezo hata ukimpa mchoro ataboronga.Pole sana.
Bado nauliza...ulikuwa na michoro ya ukuta baba?
Ndio nimepanga kufanya nitakuja every 4 months hadi nimalize japo gharama za nauli ni kubwa siku hizi dollars 1500 round ticketsUkiwa na cash mkononi chukua likizo. Ukija unajenga mpaka hatua fulani kama likizo imeisha unaachia hapo.
Likizo ingine ukija unamalizia na kama kalikizo karefu unaweza kumalizia kabisa.
Kwa njia hio utafanikiwa,ujenzi watu wanapigwa hadi na ndugu wa damu.Ndio nimepanga kufanya nitakuja every 4 months hadi nimalize japo gharama za nauli ni kubwa siku hizi dollars 1500 round tickets