Je! Unajua unaweza kudukua Iphones?
Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia?
Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua linahitaji vitu flani ambavyo wakati mwingine ni teknolojia ghali.
Juzi kati ikatangazwa habari fupi ilizuka WhatsApp ilishitaki kampuni flani inayounda computer na mipango yake kutoka Israel. Sababu inashutumiwa kumpa Paul Kagame wa Rwanda mpango wa computer iliyowezesha kudukua "(WhatsApp conversation) mazungumzo ya siri ya whatsapp” ya wapinzani wa serikali ya Rwanda wanaoishi uhamishoni wanaojiita 'wanaharakati'.
Hii taarifa iliripotiwa na BBC na haikujadiliwa sana, kwa kawaida ni ngumu kudukua maongezi "whatsapp" sababu usimamizi wa data ziko imara encrypted na location wise ziko mbali.
View attachment 2333447kuna mpango (programu) Rwanda inadaiwa wanayo inayowezesha kudukua mawasiliano ya wapinzani wa serikali tena walioko nje ya Rwanda ili kujua mikakati inayoendelea na nini wanapanga!
Baada ya miaka (5) za kudukuliwa na wapinzani kuanza kufa nje ya Rwanda na walikuwapo ndani, WhatsApp wakasema "ni vibaya kudukua pasipo kibali cha muhusika" WhatsApp baada ya kupeleleza ndipo wakagundua Ukuta wao wa ulinzi kidigitali waliohisi ni mzito kupenya risasi
Ukiskia INKRIPTED au SEKIYURITI WALL unaweza jiuliza ni nini?acha ninukuu sehemu ya taarifa hii kutoka #BBCSWAHILI ya Tar 9november 2019 .
"WhatsApp imeishutumu Kampuni ya (NSO Group) kwa kuweka mpango (programu) kwenye simu karibu 1,400 kwa nia ya kufanya upelelezi.
Mpango (Programu) yake ya Pegasus inaweza kufanya kazi hiyo hata ikiwa mbali.
Idadi kubwa ya watu wanaofuatiliwa wanadaiwa kuwa raia wa Rwanda.
Kampuni ya (NSO Group) imekana madai dhidi yao, ikisema kuwa programu ya Pegasus imekuwa ikiuzwa kwa wateja waliohakikiwa na si wenye nia mbaya" Hiyo (program PEGASUS) na utajiuliza kwani inafanyaje kazi? na INKRIPTED MESEJI ni nini?ukifungua (whatsapp) kwenye simu yako, kwenye kila mtu uliyechati naye, utaona pale juu kuna maandishi fulani yanasomeka, "messages and calls in this chart are end to end encrypted".
Kuna maneno mengi kwa lugha ya yai, lengo likiwa kukuhakikishia kwamba UPO SALAMA na kwamba hata wao (Whatsapp) hawana uwezo wa kusoma Meseji zako. Hii inafanyaje kazi?
Hii ni teknolojia ambayo iligunduliwa mda mfupi uliyo pita. Ndio maana (whatsapp) wamekuwekea kwa ili kuamini hilo meseji kwenye kila mazungumzo kwamba UPO SALAMA. CHA KUSHANGAZA ni baadae (Whatsapp) wanaibuka na kulalamika kwa Izrael nchi ya ahadi, ina maanisha kuna watu wameweza kuzisoma hizo (code) na kuelewa zimebeba nini.
Watu wenyewe NCHI YA AHADI Israel, kampuni mtuhumiwa ni (NSO GROUP) na tayari walishafanya biashara na wameuza hiyo UARABUNI na AFRICA na mnunuzi ni jirani yetu rais paul kagame (kwa mujibu wa taarifa zilizopo) lakini alikanusha
Kagame alinukuliwa na bbc akijibu.
Virusi wa aina hii walianza kutumwa kwa simu za wahusika na (Ndipo Whatsapp kufuatilia zaidi hiyo virus aligorthim ni kama fingure prin ya computer), ikaonesha imetengenezwa Israel na jina la kampuni (NSO group) Kama ulivyosoma wanasema wao kweli wana hiyo teknolojia lakini wanawauzia watu salama tu, watu salama ni nani?
Kwasabab kwa mujibu wa sheria nyingi duniani ni kitu kisichoruhusiwa kuhack mawasiliano ya mtu yeyote. Yaani kumfuatilia bila yeye kujua.

Attachments
Upvote
2