Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

images%20(27).jpg
 
View attachment 2521539
Uzi hauja kaa sawa.
 
Achana na mambo ya rpms..hiyo ni uwezo wa engine kuzunguka..
Speed ni matokeo ya engine kuzunguka..
Tunaangalia matokeo sio process..
Hata usome sana ila huna uwezo wa kugeuza kisomo kutatua changamoto zako inakuwa ni bure..!

Diesel engines hazina uwezo wa kurev
Petrol engines zina revs sana
LC200 1vd max rpms 6000 top speed 240kph..!
Voltz 2zz max rpms 9000 top speed 180kph..!
Landcruiser anapiga ngumi chache ila nzito...
Voltz anapiga ngumi nyingi nyingi ila nyepesi..!
 
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.

Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.

Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.

Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.

Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze

View attachment 2521539
ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
 
🤣🤣 Ninadhani alitaka kusema mnaweza kuwa na mwendokasi sawa, mfano 80kph, ila mkatofautiana RPM kulingana na aina ya injini. Mmoja anazunguka sana kufikia 80kph hlf mwingine sio kiviiile.
 
Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.

Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazo
images%20(29).jpg
 
Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.

Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Na wewe naona walewale Tu...umetoa maelezo ulipofika katikati umepotea njia
 
Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.

Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Tesla na RPM wapi na wapi?!
 
ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
 
Back
Top Bottom