Uzi hauja kaa sawa.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Ameanza vzr kufika kati amejikuta hajuiUzi hauja kaa sawa.
Hahahaha ππ ππππ€£π€£Ameanza vzr kufika kati amejikuta hajui
Mtoa mada asamehewe Tu maaa hajui afanyalo hawa member wengine ni wataalamu kwenye jukwaa Lao la mapenzi na mahusianoUzi hauja kaa sawa.
ππ Na mimi nilitaka kumwambia akomae na jukwaaa mapenzi tu,huko kwny magari sio mambo yake hayo.Mtoa mada asamehewe Tu maaa hajui afanyalo hawa member wengine ni wataalamu kwenye jukwaa Lao la mapenzi na mahusiano
ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
Huwezi pitwa kama wote mpo speed sawa.ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
π€£π€£ Ninadhani alitaka kusema mnaweza kuwa na mwendokasi sawa, mfano 80kph, ila mkatofautiana RPM kulingana na aina ya injini. Mmoja anazunguka sana kufikia 80kph hlf mwingine sio kiviiile.ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs
Hahahaha π€£π ππ€£ππ Na mimi nilitaka kumwambia akomae na jukwaaa mapenzi tu,huko kwny magari sio mambo yake hayo.
Na wewe naona walewale Tu...umetoa maelezo ulipofika katikati umepotea njiaKuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.
Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Tesla na RPM wapi na wapi?!Kuna kitu mtoa mada mmeshindwa kumuelewa japo mmkembilia ujuwaji msiojua.
Anaposema RPM na KMH basi kiwango kikubwa kinachoangaliwa kwenye kusuma KMH ni RPM ndio maana dash ya speed zote zinaweza kuwa sawa ila ikakupita.
Kuna siku ilishwai shindanishwa tesla na bugat.
Kilichokuwa akiangaliwi speed je RPM zinapishana vipi.
Ila ukiwa mjinga tanzania ndio ili, watu kubisha wasichokijua.
Mrudi mashuleni mda mwengine ndo nyie hata kufanya utafiti mnakuja na kende zenu kufikiria.
Jamaa yupo sawa labfa ufikishaji wazoView attachment 2522972
Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
SPEED SAWA? HALAFU ANAKUPITA? hahahahs