Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nchi wapewe Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, ChoiceVariable na wewe hapo nchi itageuka paradiso, eti ehhKuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale
Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi
Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua
Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo
Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama
Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Katiba ikisema rais ashtakiwe kwa ujinga alio ufanya akiwa madarakani ,raisi gani atajiona mungu mtu dhidi ya wananchi? Hapo lema hapuyanga au ndio mambo ya bahasha kwakeKuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale
Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua
Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo
Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama
Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Sijekwezi huu ndo ukweliUnajikweza mno!
Mezea kwanza gamba lijivue ili tuelewe zaidi.Mbwembwe nyingi ila tutaona rangi halisi.Unajikweza mno!
UWEZO WAO NI MDOGO KWA HIYO SIO KOSA LAKONchi wapewe Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, ChoiceVariable na wewe hapo nchi itageuka paradiso, eti ehh
Katiba ya sasa inakuruhusu wewe kama mtawala usiifuate na bado inakupa kingaKatiba ya sasa inafuatwa kwa asilimia ngapi na watawala?
kwani nchi imekua peremende gentleman ndio ipeanwe?πNchi wapewe Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, ChoiceVariable na wewe hapo nchi itageuka paradiso, eti ehh
Umejibu vizuri , nakubaliπ€Katiba ya sasa inakuruhusu wewe kama mtawala usiifuate na bado inakupa kinga
Katiba nzuri ndo inashape fikra na katiba mbovu itawalelea wabadhilifu kwa gharama kubwa sana na kuwalindaKatiba ikisema rais ashtakiwe kwa ujinga alio ufanya akiwa madarakani ,raisi gani atajiona mungu mtu dhidi ya wananchi? Hapo lema hapuyanga au ndio mambo ya bahasha kwake
Amesemaje?Acha kupotosha Wewe..Tumemwelewa sana
Wapare humu ndani hatupendaniHakuna shida, atatumia uwezo wako
Kiburi na dharau alizo nazo Rais na watendaji wake wote ni kutokana nankinga yake kikatiba huyu G.Lema Kama kweli kayasema hayo basi kawaza kwa kutumia mkhindu wake na sio kichwa chake manina zakeKuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale
Fikra zetu zipo hivi sababu ya katiba iliyopo kwanini mtanzania huyu huyu akienda marekani ghafla anaanza kulipa kodi, anatii sheria ila alivyokuwa Tanzania alikuwa halipi kodi na hatii-sheria unafikiri huyu mtu tatizo ni fikra hapana sio fikra ni katiba ya nchi ambayo inaunda sheria zote na taasisi zote za nchi
Katiba mpya inashape fikra mfano katiba mpya ikisema TAKUKURU wawe huru na viongozi wa TAKUKURU hawachaguliwi na Rais unaafikri rushwa haitapungua Itapungua kwa kiwango kikubwa na TAKUKURU watakuwa na uhuru mkubwa sana wa kufanya kazi
Tukiwa na spika ambaye hatokani na vyama vya siasa na katiba ikasema hivyo
Katiba ikisema majaji wa mahakama kuu wasichaguliwe na Rais itapunguza changamoto nyingi sana za mahakama
Katiba mpya haiwezi maliza matatizo yote ila italeta unafuu mkubwa sana kuanzia kwenye kupata viongozi, kuhimiza uwajibikaji na kutenda haki
Hta sijachek jina la mtoa mada, ila hata nikichek bado mm nanyoosha tuu siangalii sura πWapare humu ndani hatupendani
Mbaga anajibishana na shughuru π’
Mimi Mshana najitolea kusuruhishaπ