Huyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote πAmesema wapi hayo maneno
Nataka kujua nipate uhakika wa kuchangia
Hujui huyu ndugu yetu anagombea kiti cha Urais 2030 take care kijanaHta sijachek jina la mtoa mada, ila hata nikichek bado mm nanyoosha tuu siangalii sura π
Ndio naakili na natumia uhuru wangu wa kutoa maoniHuyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote π
Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.
Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
Yes ndio maana nimemuomba aweke au aseme wapi kapost ili nipate uhakika wa kuchangiaHuyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote π
Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.
Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
Sio lazima uchangieYes ndio maana nimemuomba awake au aseme wapi kapost ili nipate uhakika wa kuchangia
Ah labla urais wa milimaniHujui huyu ndugu yetu anagombea kiti cha Urais 2030 take care kijana
Usiwe mkali kakaSio lazima uchangie
Uhuru wako utumie vizuri lakini sio kwa kubeza uwezo wa fikra wa mtu mwingine, tunaomba hayo maneno au video kuhusu LemaNdio naakili na natumia uhuru wangu wa kutoa maoni
Mdharau mwiba....Ah labla urais wa milimani
Yaani kumkashifu Lema nimemdharau sana , mjumbe wa Kamati kuu aliyeteuliwa na Lissu na kupigiwa kura na Wajumbe πYes ndio maana nimemuomba aweke au aseme wapi kapost ili nipate uhakika wa kuchangia
Lema kaongea ujinga hilo liko waziUhuru wako utumie vizuri lakini sio kwa kubeza uwezo wa fikra wa mtu mwingine, tunaomba hayo maneno au video kuhusu Lema
Ila Tanzania kuna vituko sanaYaani kumkashifu Lema nimemdharau sana , mjumbe wa Kamati kuu aliyeteuliwa na Lissu na kupigiwa kura na Wajumbe π
Weka hapa tuoneLema kaongea ujinga hilo liko wazi
Huo ni mtizamo wako na unahaki ya kuona hivyoAh labla urais wa milimani
Na wewe upo humu humu Tanzania, usijifanye wewe ni special sana kuliko wengineIla Tanzania kuna vituko sana
Dogo nilishamshauri mara kibao atafute shughuli ya kufanya anakaza kichwa TU.Huyu chalii huwa anajiona ana akili nyingi sana kuliko Mtanzania yeyote π
Ndio yaleyale ya Jamhuri kumshitaki Lissu kwa kusikiliza video ya masaa 3 na kuchukua maneno yasiyozidi hata dk 3 na kuyageuza kuwa kesi.
Ni muhimu awake hilo andiko au video tusome / tuione mpaka mwisho
Hapa napingana na wewe kama lema kaongea utumbo lazima azodoleweYaani kumkashifu Lema nimemdharau sana , mjumbe wa Kamati kuu aliyeteuliwa na Lissu na kupigiwa kura na Wajumbe π
Tende zikiota, tutakula πMdharau mwiba....
Dah πTende zikiota, tutakula π
Hakuna kiongozi wa chadema ana low thinking capacity hilo nalikataa, la msingi aweke huo ushahidi wa maandishi au video/sauti tuone /tusomeHapa napingana na wewe kama lema kaongea utumbo lazima azodolewe
Hata kama TL alimchagua
Muhimu aweke ushahidi sio kuleta habari kama umbeya